Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
UMUGHAKA ana uzi wake wa kichawi, aisee unasisimua sana.
Nilipoanza kuusoma niliona ni hadithi tu, lakini sasa ninachokiona ni zaidi ya hadithi.
Kuna wamama niliwaota usiku uliopita wakiwa uchi, cha ajabu wale wamama niliowaota nimekutana nao leo asubuhi Puma, Mwenge.
Nikatoka hapo nikaenda kanisani Mabibo External, tukiwa tunatoa sadaka, nimewaona tena wakiwa kwenye mstari wa kutoa sadaka.
Muda huu niko na rafiki zangu hapa kwa Eddo Chips, Namanga Msasani nimewaona tena wamekaa meza ya jirani.
Macho yao ni mekundu sana na wananikodolea macho, mmoja ananitabasamia tabasamu gumu.
Mungu niepushe na haya maroho ya uchawi.