Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
Huyo ni mwanangu, acha kumzungumzia vibaya mwananguHaka katito kako kalikuwa na macho matatu juzi tu, tena yana rangi tatu tofauti leo kamebadikika
View attachment 2381578
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mwanangu, acha kumzungumzia vibaya mwananguHaka katito kako kalikuwa na macho matatu juzi tu, tena yana rangi tatu tofauti leo kamebadikika
View attachment 2381578
Chukua namba zao au acha bangi mzeeUMUGHAKA ana uzi wake wa kichawi, aisee unasisimua sana.
Nilipoanza kuusoma niliona ni hadithi tu, lakini sasa ninachokiona ni zaidi ya hadithi.
Kuna wamama niliwaota usiku uliopita wakiwa uchi, cha ajabu wale wamama niliowaota nimekutana nao leo asubuhi Puma, Mwenge.
Nikatoka hapo nikaenda kanisani Mabibo External, tukiwa tunatoa sadaka, nimewaona tena wakiwa kwenye mstari wa kutoa sadaka.
Muda huu niko na rafiki zangu hapa kwa Eddo Chips, Namanga Msasani nimewaona tena wamekaa meza ya jirani.
Macho yao ni mekundu sana na wananikodolea macho, mmoja ananitabasamia tabasamu gumu.
Mungu niepushe na haya maroho ya uchawi.
Labda kama hakijaandikwa kwenye maandiko matakatifuKwani kitu kikiandikwa kwenye kitabu ndo automatically kinakuwa kweli?
Hata watoto wachawi wapoHuyo ni mwanangu, acha kumzungumzia vibaya mwanangu
HallucinationsChukua namba zao au acha bangi mzee
Kumbe ndo huo nliusoma nikaishia njiani baada yakuona uzi mrefu acha nirejeeNenda jukwaa la entertainment kuna uzi namna tulivyomfanya yule mchawi
Hayahaya maandiko yanayosema wadudu wana miguu minne?Labda kama hakijaandikwa kwenye maandiko matakatifu
Tuache story za vijiweni sasa....em thibitishaHata watoto wachawi wapo
Ng'elaHayahaya maandiko yanayosema wadudu wana miguu minne?
Mambo ya walawi 11:20''Wadudu wote wenye mabawa wanatembea kwa miguu minne kwenu ni machukizo. "
Wewe uanamjua mdudu yeyote mwenye miguu minne?
Uchawi upo watu wamegongwa na popobawaTuache story za vijiweni sasa....em thibitisha
Wadudu wapo wengi sana wenye idadi tofauti ya miguuHayahaya maandiko yanayosema wadudu wana miguu minne?
Mambo ya walawi 11:20''Wadudu wote wenye mabawa wanatembea kwa miguu minne kwenu ni machukizo. "
Wewe uanamjua mdudu yeyote mwenye miguu minne?
Hayahaya maandiko yanayosema wadudu wana miguu minne?
Mambo ya walawi 11:20''Wadudu wote wenye mabawa wanatembea kwa miguu minne kwenu ni machukizo. "
Wewe uanamjua mdudu yeyote mwenye miguu minne?
UMUGHAKA ana uzi wake wa kichawi, aisee unasisimua sana.
Nilipoanza kuusoma niliona ni hadithi tu, lakini sasa ninachokiona ni zaidi ya hadithi.
Kuna wamama niliwaota usiku uliopita wakiwa uchi, cha ajabu wale wamama niliowaota nimekutana nao leo asubuhi Puma, Mwenge.
Nikatoka hapo nikaenda kanisani Mabibo External, tukiwa tunatoa sadaka, nimewaona tena wakiwa kwenye mstari wa kutoa sadaka.
Muda huu niko na rafiki zangu hapa kwa Eddo Chips, Namanga Msasani nimewaona tena wamekaa meza ya jirani.
Macho yao ni mekundu sana na wananikodolea macho, mmoja ananitabasamia tabasamu gumu.
Mungu niepushe na haya maroho ya uchawi.
Mda mwingine tusikaze mafuvu...hakuna mdudu mwenye miguu minne
Mtafute Monica wako akaulinde, umughaka alipenda akalindwa na Monica na mama yakeUMUGHAKA ana uzi wake wa kichawi, aisee unasisimua sana.
Nilipoanza kuusoma niliona ni hadithi tu, lakini sasa ninachokiona ni zaidi ya hadithi.
Kuna wamama niliwaota usiku uliopita wakiwa uchi, cha ajabu wale wamama niliowaota nimekutana nao leo asubuhi Puma, Mwenge.
Nikatoka hapo nikaenda kanisani Mabibo External, tukiwa tunatoa sadaka, nimewaona tena wakiwa kwenye mstari wa kutoa sadaka.
Muda huu niko na rafiki zangu hapa kwa Eddo Chips, Namanga Msasani nimewaona tena wamekaa meza ya jirani.
Macho yao ni mekundu sana na wananikodolea macho, mmoja ananitabasamia tabasamu gumu.
Mungu niepushe na haya maroho ya uchawi.
Huku sisi ni ndugu muombe umughaka msaada wa dawa.UMUGHAKA ana uzi wake wa kichawi, aisee unasisimua sana.