Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Dah, watu mna makavu ya kufa mtuUliyataka mwenyewe na bado. Aliekupeleka huko nani, ilihali unajua huna ubavu wa nyuzi za mauzauza?
Poe mkuu, anyways wakitabasamu[emoji1787][emoji1787]na ww tabasamu dawa ya moto moto
Umughaka amekuponza comradeUMUGHAKA ana uzi wake wa kichawi, aisee unasisimua sana.
Nilipoanza kuusoma niliona ni hadithi tu, lakini sasa ninachokiona ni zaidi ya hadithi.
Kuna wamama niliwaota usiku uliopita wakiwa uchi, cha ajabu wale wamama niliowaota nimekutana nao leo asubuhi Puma, Mwenge.
Nikatoka hapo nikaenda kanisani Mabibo External, tukiwa tunatoa sadaka, nimewaona tena wakiwa kwenye mstari wa kutoa sadaka.
Muda huu niko na rafiki zangu hapa kwa Eddo Chips, Namanga Msasani nimewaona tena wamekaa meza ya jirani.
Macho yao ni mekundu sana na wananikodolea macho, mmoja ananitabasamia tabasamu gumu.
Mungu niepushe na haya maroho ya uchawi.
Ni swala la muda tu, MONICA utakutana nae ukiwa unaelekea nyumbaniππππ na jioni ya leo utakutana na MWISE na tako lakeUMUGHAKA ana uzi wake wa kichawi, aisee unasisimua sana.
Nilipoanza kuusoma niliona ni hadithi tu, lakini sasa ninachokiona ni zaidi ya hadithi.
Kuna wamama niliwaota usiku uliopita wakiwa uchi, cha ajabu wale wamama niliowaota nimekutana nao leo asubuhi Puma, Mwenge.
Nikatoka hapo nikaenda kanisani Mabibo External, tukiwa tunatoa sadaka, nimewaona tena wakiwa kwenye mstari wa kutoa sadaka.
Muda huu niko na rafiki zangu hapa kwa Eddo Chips, Namanga Msasani nimewaona tena wamekaa meza ya jirani.
Macho yao ni mekundu sana na wananikodolea macho, mmoja ananitabasamia tabasamu gumu.
Mungu niepushe na haya maroho ya uchawi.
HeeeeNi swala la muda tu, MONICA utakutana nae ukiwa unaelekea nyumbaniππππ na jioni ya leo utakutana na MWISE na tako lake
Sina hamu tena na huyo hadithi, ina marohoUmughaka amekuponza comrade
Utadhani wale wanaobeba jeneza na kudensi naloKama uliwaona asubuh basi ni kweli wamekuchezea usiku,kaa chonjo
Sitakufa, bali nitaishi.R.I.P in advance new msukule in town A.K.A Msukuke boy
Wewe ndio mchawi mwenyewe. Mara nyingi wachawi huwasadikisha watu kuwa uchawi haupo, ila ukiuamini ndio unakudhuru. Hata vitabu vya dini vinakiri kuwa uchawi upo na una dhuruYeah, uchawi upo kama unaufuatilia na kuuamini.
Ukiupuuzia haupo.
Ni kama nabii/mchungaji hawezi kumuombea na kumponesha mtu asiye na imani....
Hivohivo mtu kamwe hawezi kumroga asiyeamini uchawi.
Haka katito kako kalikuwa na macho matatu juzi tu, tena yana rangi tatu tofauti leo kamebadikikaWewe ndio mchawi mwenyewe. Mara nyingi wachawi huwasadikisha watu kuwa uchawi haupo, ila ukiuamini ndio unakudhuru. Hata vitabu vya dini vinakiri kuwa uchawi upo na una dhuru
View attachment 2381577
Kwani kitu kikiandikwa kwenye kitabu ndo automatically kinakuwa kweli?Wewe ndio mchawi mwenyewe. Mara nyingi wachawi huwasadikisha watu kuwa uchawi haupo, ila ukiuamini ndio unakudhuru. Hata vitabu vya dini vinakiri kuwa uchawi upo na una dhuru
View attachment 2381577
Nenda jukwaa la entertainment kuna uzi namna tulivyomfanya yule mchawiTupia link ya huo uzi nisisimke npo bored ππ