Nasoma uzi wa Umughaka, unanisisimua sana, sasa naona nafukuzwa na wachawi

Mi nilisoma naona Monica kaja usiku eti anataka blow job.....nikaona fresh Tu maana umghaka alisema na mkono WA sweta
 
Mtafute Monica wako akaulinde, umughaka alipenda akalindwa na Monica na mama yake
Ninalindwa na zile stika zinazolinda magari. Hujawahi kuona mtu ananunua stika sh. Laki moja anabandika kwenye gari lake? Stika imeandikwa gari hili linalindwa na damu ya Yesu
 
UMUGHAKA atatrend humu balaa!!
Tunasubiria sehemu ya 18...
 
Uzi unaitwaje
 
Naam
 

Attachments

  • 3bf74a91f19a552c4b5f7ec22bb5560f.jpg
    53.2 KB · Views: 29
Haki mi mwenyewe nimeusoma Jana tu,NIMEMUOTA uyu bibi ni mchawi namba mbaya mtaani na kijukuu chake....huu uzi unaanza niogopesha sasa
 
Uko high dimensions ambazo pia wao wapo na uwepo wako unawazuia wao kufanya mambo yao!
Kata mbuga kijaoendelea kupaa na utumie uwezo wako kuwasaidia watu!
All the blessings brother!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…