Nasra Mohamed: Ukatili na unyanyasaji uliovuka mipaka!

nasra started b4 sema 2 yey hakufumaniwa mapema coz ktk hayo ma2c kadai ht watoto c wa mchiz mins she started as early as they got married


Unaweza kuamini kwamba kweli Nasra aliyokuwa anayasema ni kweli na siyo hasira za kumfuania mume wake?

Babu DC!!
 
Huyo Nasra aliyataka mwenyewe, hivi alikufa au bado anaugulia machungu?
Bora kama amekufa wakamalizane na Mungu ahera


Ukisoma part I, Nasra alilazwa Bugando akiwa na majeraha makubwa mno ikiwa ni pamoja na kuvunjika mbavu 7, vidonda vikubwa mgongoni, kukatika sikio na kuvunjika mguu. Alikaa ICU kwa siku 21 na kwa sasa anaendelea vizuri.

Ila tatizo langu ni kwamba; kwa nini unadhani alistahili adhabu ya kifo?

Babu DC!!
 
Kwa nini unadhani kwamba ni mkali na siyo mwathirikia wa pyschological trauma ya kumfumania mume wake??


Babu DC!!
Asante babu DC manake umegusa penyewe haswa...

Mie pia namchukulia Nasra kama ameathirika kisaikolojia baada ya tukio, manake kwa mujibu wa habari amefanya too much kwa mume wake! Hakuwa na hata chembe ya busara!
 
Babu DC amekaa ICU kwa siku 26. Hakustahili hiyo adhabu kabisa.
 
Basi wote wanatrauma.
Huy baba alipata tempraly insanity baada ya kudhalilishwa hadharani
Mkewe alipata prolonged trauma baada ya kumfumania mmewe.

Ila wanawake wote wangekuwa wana-act hivi, kusingekuwa na ndoa zinazoendelea.
 
Asante babu DC manake umegusa penyewe haswa...

Mie pia namchukulia Nasra kama ameathirika kisaikolojia baada ya tukio, manake kwa mujibu wa habari amefanya too much kwa mume wake! Hakuwa na hata chembe ya busara!


Huyo mama lazima hakuwa mzima....

Kwa sababu matatizo makubwa yalianza baada ya kumfumania mume wake. Hii haiondoi uwezekano kwamba labda huko nyuma naye alikuwa mdau wa infii, ila kama angekuwa basi reactions zake walau zingekuwa tofauti.

Katika hili tatizo, nadhani ndugu walishindwa kugundua kwamba Nasra hakuwa mzima na alihitaji tiba!!

Babu DC!!!
 
Babu DC amekaa ICU kwa siku 26. Hakustahili hiyo adhabu kabisa.

Ahsante SL kwa masahihisho. Ila TBC1 nadhani walisema 21 days...;Kwa vyovyote vile, ni muda mrefu sana!

Habari kutoka kwenye eneo la tukio ni kwamba watu hawakuwa na matumaini tena kwamba Nasra anaweza kupona. Nasikia nyama zote za mgongoni zilisagika sana!!

Babu DC!!
 
Basi wote wanatrauma.
Huy baba alipata tempraly insanity baada ya kudhalilishwa hadharani
Mkewe alipata prolonged trauma baada ya kumfumania mmewe.

Ila wanawake wote wangekuwa wana-act hivi, kusingekuwa na ndoa zinazoendelea.

Kuna uwezekano kwamba wote waliathirika kwani sidhani kama mume alitegemea angefumaniwa na labda baada ya kufumaniwa angeachwa na kudaiwa talaka (tena baada ya kudhalilishwa). Na hapa walitakiwa kugawana mali za ndoa!!

Kuhusu reaction ya Nasra baada ya kufumania, naweza kumuelewa kwa sababu inategemea na yeye alivyokuwa anamchukulia mke wake. Ndiyo maana sipendi kumdanganya mtu kwamba mie niko 100% na siwezi kufanya mambo ambayo watu wengine mitaani wanafanya...At least namweleza kuwa nitajitahidi kuwa tofauti na walio wengi linapokuja suala la uaminifu kwenye ndoa!!

Babu DC!!
 
hamna kesi hapo, provocation itachukua nafasi yake, na atapata manslaughter. akijiandaa vizuri kuzunguka, atapata Nolle prosequi vilevile.
 
mwanamke akishakufumania nae akaanza kulipiza visasi wanakera kwa kweli
hata ingekuwa mm niambiwe watoto sio wangu afu aniibie na kunidhalilisha
murrrrrrraaaaaaaaaa hapo lazima ale mkongoto au niharibu reception kabisa.
 
hamna kesi hapo, provocation itachukua nafasi yake, na atapata manslaughter. akijiandaa vizuri kuzunguka, atapata Nolle prosequi vilevile.


Hebu basi tupe misingi ya kisheria basi...Kwa nini unadhani kesi inaweza kutupwa na DPP (Nolle presequi)?

Mbona aliodoka sehemu ya tukio, halafu akarudi tena? Hii haiwezi kujenga mazingira kwamba alienda pembeni akakaa na kupanga kitu cha kufanya?

Hapa itabidi niwatafute maloya (lawyers) wanipe mwanga kidogo!!

Babu DC
 
na nyie mkimmwaga mke mnasemaje "mwanamke malaya sana huyu, katembea mpaka na ndugu na rafiki zangu wa karibu" hata kama mwanamke huyo hajawahi kutembea nje ya ndoa.

Wanawake mara nyingi ukiwamwaga wao matusi yao kwamba hauwezi kazi joka la kibisa huna nguvu oh mara dushelele kama sigara kali,hv miaka yote hyo alikua haoni??
 
na nyie mkimmwaga mke mnasemaje "mwanamke malaya sana huyu, katembea mpaka na ndugu na rafiki zangu wa karibu" hata kama mwanamke huyo hajawahi kutembea nje ya ndoa.


Da Asia,

Baada ya watu kubwagana wanaweza kusema lolote. Hili linatokana na ukweli kwamba kuna mtu atakuwa anaumia kuachwa!

Babu DC!!
 
Ni ngumu kuthibisha hayo unayo yasema eti hayakuwa yanatoka moyoni,na kwamba alikuwa hamaanishi hayo yote alio yasema!!! thubutu! huwezi jua nyie wanawake hamuamininki sana!!! japo c wote!!! so usijipe 100% ya hayo uliosema hapo juu kuwa ni kweli.

Sangija,

Kweli ni vigumu kuthibitisha. ila kwa kuwa hakuna ushahidi kwamba Nasra alionekana na wanaume kabla ya kufumania au aliyasema haya kabla ya hilo fumanizi, mtu yeyote anashawishika kuona kwamba mabadiliko yaliyomtokea yalitokana na tukio la kufumania live!!

Kwenye mambo ya ndoa, huwezi kumfumania mwenzio halafu ukajidai kwamba umebaki salama....Big No!!

Babu DC!!
 

Kaka Bishanga,

Hata mie nimesoma posts za SL, na kweli nimemkubali kwa jinsi alivyojaribu kujenga hoja kutoka na taarifa zilizoko mbele yetu...Hakuna mahali ambapo panaeleza maisha ya Nasra kabla ya kufumania...Na kwa hiyo, tunaweza kumpa benefit of doubt kwamba dhambi zake za nyuma hazijulikani na matukio ya baada ya hapo yalichangiwa na trauma ya kumkuta mume wake aliyemwamini sana akizini, tena live!!

Binadamu yeyote lazima atapata mshtuko ambao hauwezi kumwacha akiwa mentally and psychologically fit...

Kwa ufupi maisha yake hayatakaa yawe kama zamani.

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…