Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi tena Hus?
nasra started b4 sema 2 yey hakufumaniwa mapema coz ktk hayo ma2c kadai ht watoto c wa mchiz mins she started as early as they got married
Huyo Nasra aliyataka mwenyewe, hivi alikufa au bado anaugulia machungu?
Bora kama amekufa wakamalizane na Mungu ahera
Asante babu DC manake umegusa penyewe haswa...Kwa nini unadhani kwamba ni mkali na siyo mwathirikia wa pyschological trauma ya kumfumania mume wake??
Babu DC!!
Babu DC amekaa ICU kwa siku 26. Hakustahili hiyo adhabu kabisa.Ukisoma part I, Nasra alilazwa Bugando akiwa na majeraha makubwa mno ikiwa ni pamoja na kuvunjika mbavu 7, vidonda vikubwa mgongoni, kukatika sikio na kuvunjika mguu. Alikaa ICU kwa siku 21 na kwa sasa anaendelea vizuri.
Ila tatizo langu ni kwamba; kwa nini unadhani alistahili adhabu ya kifo?
Babu DC!!
Asante babu DC manake umegusa penyewe haswa...
Mie pia namchukulia Nasra kama ameathirika kisaikolojia baada ya tukio, manake kwa mujibu wa habari amefanya too much kwa mume wake! Hakuwa na hata chembe ya busara!
Babu DC amekaa ICU kwa siku 26. Hakustahili hiyo adhabu kabisa.
Basi wote wanatrauma.
Huy baba alipata tempraly insanity baada ya kudhalilishwa hadharani
Mkewe alipata prolonged trauma baada ya kumfumania mmewe.
Ila wanawake wote wangekuwa wana-act hivi, kusingekuwa na ndoa zinazoendelea.
hamna kesi hapo, provocation itachukua nafasi yake, na atapata manslaughter. akijiandaa vizuri kuzunguka, atapata Nolle prosequi vilevile.
Wanawake mara nyingi ukiwamwaga wao matusi yao kwamba hauwezi kazi joka la kibisa huna nguvu oh mara dushelele kama sigara kali,hv miaka yote hyo alikua haoni??
na nyie mkimmwaga mke mnasemaje "mwanamke malaya sana huyu, katembea mpaka na ndugu na rafiki zangu wa karibu" hata kama mwanamke huyo hajawahi kutembea nje ya ndoa.
Ni ngumu kuthibisha hayo unayo yasema eti hayakuwa yanatoka moyoni,na kwamba alikuwa hamaanishi hayo yote alio yasema!!! thubutu! huwezi jua nyie wanawake hamuamininki sana!!! japo c wote!!! so usijipe 100% ya hayo uliosema hapo juu kuwa ni kweli.
SL post zako zote kwenye hii thread nimezisoma,majumuisho yangu ni kuwa unasisitiza kuwa balaa lote kalianzisha mwanaume kwa kutoka nje,si ndio? kwa lugha nyingine Nasra,malaika wa watu,mke mwema,yeye ni mhanga wa tukio zima. Kwa mtizamo huu basi ina maana tukiingia kwenye ndoa nyoyo zetu tuzivalishe kombati la chuma ili zikose hisia kabisa.Ahsante kwa ushauri huo,kinamama hoyeeeeeeee!