GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
ok sawaNimeshauandaa Uzi Maalum wa huyo mtu ila nasubiri hiyo Saa 1 Kamili Usiku nikione Kikosi cha Taifa Stars na kama hayuko na hakuitwa kabisa basi Usiku wa Leo hapa JamiiForums patawaka Moto kwani GENTAMYCINE nitaanika kila kitu.
Hayumo na hatakuwemo.Nimeshauandaa Uzi Maalum wa huyo mtu ila nasubiri hiyo Saa 1 Kamili Usiku nikione Kikosi cha Taifa Stars na kama hayuko na hakuitwa kabisa basi Usiku wa Leo hapa JamiiForums patawaka Moto kwani GENTAMYCINE nitaanika kila kitu.
Fomu gani wakati ni second top scorerFei toto bado hajakaa kwenye fomu yake, ingawa atairudia.
Wakae tu benchi kama backup maana uwezo wa kuwaweka benchi kina Miroshi na Mnoga haupo.Me nashangaa sana Shomari kapombe na Shabalala kutoitwa!me nasema hata uwepo wao benchini ina maana kubwa sana.
Wakae bench kama wazee wa balaza au?Me nashangaa sana Shomari kapombe na Shabalala kutoitwa!me nasema hata uwepo wao benchini ina maana kubwa sana.
Faida gani kwa hao vizee.Me nashangaa sana Shomari kapombe na Shabalala kutoitwa!me nasema hata uwepo wao benchini ina maana kubwa sana.
hivi yale magoli matatu dhidi ya wachezaji 7 nayo ni hatriki?Fomu gani wakati ni second top scorer
Kupunguza kuonesha ujinga... Yaani timu Ina wachezaji 7 unamuita scorer?Fomu gani wakati ni second top scorer
Ili waloge watotoMe nashangaa sana Shomari kapombe na Shabalala kutoitwa!me nasema hata uwepo wao benchini ina maana kubwa sana.
Hatumsamehi.aache mpira wetu aondoke na kipaji chakeWatu washaminya kitufe, cha kufanya arudi akaombe msamaha kwa wazee wa jangwani ili mambo yamwendee sawa bin sawia.
Mm pia nasubiri wajibu hapaMechi inaonyeshwa wapi