GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimeshauandaa Uzi Maalum wa huyo mtu ila nasubiri hiyo Saa 1 Kamili Usiku nikione Kikosi cha Taifa Stars na kama hayuko na hakuitwa kabisa basi Usiku wa Leo hapa JamiiForums patawaka Moto kwani GENTAMYCINE nitaanika kila kitu.
Update: Niliahidi kuja na Taarifa ya Ndani kwanini 'Feitoto' hajaitwa Taifa Stars, sasa nafunguka mazima na tena kwa Kujiamini mno
Update: Niliahidi kuja na Taarifa ya Ndani kwanini 'Feitoto' hajaitwa Taifa Stars, sasa nafunguka mazima na tena kwa Kujiamini mno