Nasubiri kujiridhisha kama sitomuona Feitoto Kikosini Taifa Stars ili nije na mhusika aliyesababisha hayo tumnyooshe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nimeshauandaa Uzi Maalum wa huyo mtu ila nasubiri hiyo Saa 1 Kamili Usiku nikione Kikosi cha Taifa Stars na kama hayuko na hakuitwa kabisa basi Usiku wa Leo hapa JamiiForums patawaka Moto kwani GENTAMYCINE nitaanika kila kitu.
ok sawa
 
Hayumo na hatakuwemo.
 
Fei toto bado hajakaa kwenye fomu yake, ingawa atairudia.
 
Bora Aziz Andambwile kuliko Feisal, Feisal hamna kitu tena ana mengi ya kufanya.
 
Watu washaminya kitufe, cha kufanya arudi akaombe msamaha kwa wazee wa jangwani ili mambo yamwendee sawa bin sawia.
Hatumsamehi.aache mpira wetu aondoke na kipaji chake
 
Back
Top Bottom