GE2025 Nasubiri kuona Catherine Ruge, Dovotha Minja na Susan Kiwanga wakishinda ubunge kupitia CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Waliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.

Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha , wengine wameona aibu ya kuchukua fomu wapo wanaugulia maumivu.

Binafsi nipo nasubiri Kwa hamu kuwaona wafuatao wakiwashinda wagombea wa CCM na kushinda ubunge kupitia CHAUMMA watu hao ni

1.Catherine Ruge-Serengeti

1751993956547.png
2. Devotha Minja-Morogoro kusini

1751995376735.jpeg
3 Susan Kiwanga-Mlimba

lilee.png

4. Moza Ally
mozzz.png
5.vitus Nkuma-Iringa mjini.

6.Aisha madogo-Dodoma mjini.

N.B mpaka sasahivi CHAUMMA wanahaha kumsaka mgombea uraisi.

Here we go
 
kwani Hashimu Rungwe hagombei?

Mrema vipi hajachukua fomu ya ubunge?
 
Waliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.

Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha , wengine wameona aibu ya kuchukua fomu wapo wanaugulia maumivu.

Binafsi nipo nasubiri Kwa hamu kuwaona wafuatao wakiwashinda wagombea wa CCM na kushinda ubunge kupitia CHAUMA.watu hao ni

1.Catherine Ruge-Serengeti

2. Devotha Minja-Morogoro kusini

3 Susan Kiwanga-Mlimba.

4. Moza Ally

5.vitus Nkuma-Iringa mjini.

6.Aisha madogo-Dodoma mjini.

N.B mpaka sasahivi CHAUMA wanahaha kumsaka mgombea uraisi.

Here we go
Mgombea Urais ni John Mrema
 
Ntobi..........Shinyanga mjini
 
Devotha minja kamkimbia Abood moro mjini, susan kiwanga anaweza kupewa ubunge mlimba.
 
Waliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.

Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha , wengine wameona aibu ya kuchukua fomu wapo wanaugulia maumivu.

Binafsi nipo nasubiri Kwa hamu kuwaona wafuatao wakiwashinda wagombea wa CCM na kushinda ubunge kupitia CHAUMA.watu hao ni

1.Catherine Ruge-Serengeti

2. Devotha Minja-Morogoro kusini

3 Susan Kiwanga-Mlimba.

4. Moza Ally

5.vitus Nkuma-Iringa mjini.

6.Aisha madogo-Dodoma mjini.

N.B mpaka sasahivi CHAUMA wanahaha kumsaka mgombea uraisi.

Here we go
Hao uliowataja na wengine ambao haukuwataja hata wasiposhinda nafasi za ubunge, angalau watashindwa huku wakipambana kama alivyofanya Aisha Madogo mwaka jana.

Watu wenu watabaki kusema kuwa wangeshindana wangeshinda. Chaumma tayari ina mgombea urais ambae ni Mwenyekiti wao wa sasa.

Catherine Ruge na wenzake tutawaheshimu kwa kutaa kuburuzwa na kupigania kile wanacho kiamini. Na kama watafanyiwa figisu figisu wote tutakuwa mashahidi. Kushinda au kushindwa ni sehemu ya mapambano yeyote.

Amandla...
 
😁 Oky tunawaoongeza chauma Kwa kushiriki uchaguzi
 
Mimi nitashangaa wasipotangazwa washindi, kama uchaguzi utafanyika Oktoba.
 
Hao uliowataja na wengine ambao haukuwataja hata wasiposhinda nafasi za ubunge, angalau watashindwa huku wakipambana kama alivyofanya Aisha Madogo mwaka jana.

Watu wenu watabaki kusema kuwa wangeshindana wangeshinda. Chaumma tayari ina mgombea urais ambae ni Mwenyekiti wao wa sasa.

Catherine Ruge na wenzake tutawaheshimu kwa kutaa kuburuzwa na kupigania kile wanacho kiamini. Na kama watafanyiwa figisu figisu wote tutakuwa mashahidi. Kushinda au kushindwa ni sehemu ya mapambano yeyote.

Amandla...
Hujajibu swali bado.
Hao wote waliotajwa, mbona mpaka sasa bado wanasita kuchukua fomu za kugombea ubunge kupitia CHAUMA?
Walisema wanaenda Chauma ili wakagombee, sasa Chauma wametangaza watu wakachukue fomu, lakini wanaG55 wamepotea mitini, fomu zimedoda.
 
Back
Top Bottom