GE2025 Nasubiri kuona Catherine Ruge, Dovotha Minja na Susan Kiwanga wakishinda ubunge kupitia CHAUMMA

GE2025 Nasubiri kuona Catherine Ruge, Dovotha Minja na Susan Kiwanga wakishinda ubunge kupitia CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Alibebwa na CHADEMA.
Ni CCM peke yake ndio inaweza kuwabeba wagombea. Wagombea wa vyama vingine wanapigana wenyewe kwa sababu vyama vyao haviwezi kutumia dola kuwabeba. Chadema ilikuwa inaangalia watu potential kama Kiwanga, Msigwa, Heche, Matiko, Mdee na wengine na kuwatumia ili kipate wabunge wa kutosha. Wangekuwa na uwezo wa kumbeba mtu, yaliyotokea 2020 yasingeweza kutokea. Chadema ilisaidia lakini juhudi kubwa ilifanywa na wagombea wenyewe kama hawa na wakina Aidan.

Amandla...
 
Umesikia hata mtu mmoja amechukua fomu Chaumma? Kila chama kina utaratibu na ratiba yake. Ukifika wakati waliojipangia watachukua tu. Muda wa kupata wagombea haupangwi na INEC.
Au unahofia kuwa wanawasubiri wagombea kutoka CDM?

Amandla...
Chaumma wameanza kutoa fomu tokea June 30. Wapo waliochukua huku bara na pia Zanzibar
 
Waliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.

Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha , wengine wameona aibu ya kuchukua fomu wapo wanaugulia maumivu.

Binafsi nipo nasubiri Kwa hamu kuwaona wafuatao wakiwashinda wagombea wa CCM na kushinda ubunge kupitia CHAUMMA watu hao ni

1.Catherine Ruge-Serengeti

2. Devotha Minja-Morogoro kusini

3 Susan Kiwanga-Mlimba

4. Moza Ally
5.vitus Nkuma-Iringa mjini.

6.Aisha madogo-Dodoma mjini.

N.B mpaka sasahivi CHAUMMA wanahaha kumsaka mgombea uraisi.

Here we go
Tutawaachia majimbo kadhaa
 
Sawa. Lakini kwani wamefunga uchukuaji wa fomu? Kama bado, kwa nini watu waulizie kwa nini Ruge na wengine hawaja chukua? Ni upuuzi tu.

Amandla...
Nimejibu ulipoandika hakuna hata mtu mmoja aliyechukua fomu. Hapo ndio nimekurekebisha, hayo mengine endeleeni
 
Suzan kiwanga ameshinda ubunge mara moja tu ile 2015 ya ukawa. Unavyozungumza ni kama mtu aliyewahi kushinda mara nyingi
Mnavyozungumza ni kama vile hajawahi kushinda kabisa. Katika mazingira ya siasa zetu ni vigumu sana kukuta mwanasiasa wa chama cha upinzani aliyeshinda zaidi ya mara mbili uchaguzi wa majimboni. Si Mbowe, si Heche, si Lissu. Wengi wanaamini kuwa wengi wao wangeshinda 2020 isingekuwa kufanyiwa figisu figisu.

Kiwanga kushinda mara moja sio sababu ya kumkebehi maana amekuwa askari mwaminifu wa chama chake kwa miaka yote aliyo kitumikia. Mkosoeni kwa uamuzi wake wa kuhama CDM lakini msimbeze kuwa ati alikuwa anabebwa tu.

Ngoja nikuulize, kiwanga kagobea ubunge hapo mlimba mara ngapi?
 
Waliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.

Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha , wengine wameona aibu ya kuchukua fomu wapo wanaugulia maumivu.

Binafsi nipo nasubiri Kwa hamu kuwaona wafuatao wakiwashinda wagombea wa CCM na kushinda ubunge kupitia CHAUMMA watu hao ni

1.Catherine Ruge-Serengeti

2. Devotha Minja-Morogoro kusini

3 Susan Kiwanga-Mlimba

4. Moza Ally
5.vitus Nkuma-Iringa mjini.

6.Aisha madogo-Dodoma mjini.

N.B mpaka sasahivi CHAUMMA wanahaha kumsaka mgombea uraisi.

Here we go
Ubunge watauota tu Yaani, ccm itazoa majimbo yote hayo
 
Back
Top Bottom