Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Umesikia hata mtu mmoja amechukua fomu Chaumma? Kila chama kina utaratibu na ratiba yake. Ukifika wakati waliojipangia watachukua tu. Muda wa kupata wagombea haupangwi na INEC.Hujajibu swali bado.
Hao wote waliotajwa, mbona mpaka sasa bado wanasita kuchukua fomu za kugombea ubunge kupitia CHAUMA?
Walisema wanaenda Chauma ili wakagombee, sasa Chauma wametangaza watu wakachukue fomu, lakini wanaG55 wamepotea mitini, fomu zimedoda.
Au unahofia kuwa wanawasubiri wagombea kutoka CDM?
Amandla...