Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Mgombea Urais ni John MremaWaliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.
Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha , wengine wameona aibu ya kuchukua fomu wapo wanaugulia maumivu.
Binafsi nipo nasubiri Kwa hamu kuwaona wafuatao wakiwashinda wagombea wa CCM na kushinda ubunge kupitia CHAUMA.watu hao ni
1.Catherine Ruge-Serengeti
2. Devotha Minja-Morogoro kusini
3 Susan Kiwanga-Mlimba.
4. Moza Ally
5.vitus Nkuma-Iringa mjini.
6.Aisha madogo-Dodoma mjini.
N.B mpaka sasahivi CHAUMA wanahaha kumsaka mgombea uraisi.
Here we go
Ntobi..........Shinyanga mjiniWaliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.
Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha , wengine wameona aibu ya kuchukua fomu wapo wanaugulia maumivu.
Binafsi nipo nasubiri Kwa hamu kuwaona wafuatao wakiwashinda wagombea wa CCM na kushinda ubunge kupitia CHAUMA.watu hao ni
1.Catherine Ruge-Serengeti
2. Devotha Minja-Morogoro kusini
3 Susan Kiwanga-Mlimba.
4. Moza Ally
5.vitus Nkuma-Iringa mjini.
6.Aisha madogo-Dodoma mjini.
N.B mpaka sasahivi CHAUMA wanahaha kumsaka mgombea uraisi.
Here we go
Mzee Rungwe Amesema wagonjwa wote Hospital watapewa Ubwabwa. Nimeipenda sana sera ya Ubwabwa.kwani Hashimu Rungwe hagombei?
Mrema vipi hajachukua fomu ya ubunge?
Katiba inaruhusu meku kuwa Rais? 😂✔️Mgombea Urais ni John Mrema
Mwamba…….Kinondoni UponjoroNtobi..........Shinyanga mjini
Kuna mkinga amewahi kuwa hata PM?Katiba inaruhusu meku kuwa Rais? 😂✔️
Mrema visungura atagombea Moshikwani Hashimu Rungwe hagombei?
Mrema vipi hajachukua fomu ya ubunge?
Wodini ni mwendo wa vi hotpot na sahani za UbwabwaMzee Rungwe Amesema wagonjwa wote Hospital watapewa Ubwabwa. Nimeipenda sana sera ya Ubwabwa.
Mgombea mwenza Moza AllyMgombea Urais ni John Mrema
Devotha minja kamkimbia Abood moro mjini, susan kiwanga anaweza kupewa ubunge mlimba.Waliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.
Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha , wengine wameona aibu ya kuchukua fomu wapo wanaugulia maumivu.
Binafsi nipo nasubiri Kwa hamu kuwaona wafuatao wakiwashinda wagombea wa CCM na kushinda ubunge kupitia CHAUMA.watu hao ni
1.Catherine Ruge-Serengeti
2. Devotha Minja-Morogoro kusini
3 Susan Kiwanga-Mlimba.
4. Moza Ally
5.vitus Nkuma-Iringa mjini.
6.Aisha madogo-Dodoma mjini.
N.B mpaka sasahivi CHAUMA wanahaha kumsaka mgombea uraisi.
Here we go
Vitus NkunaMgombea mwenza Moza Ally
Hao uliowataja na wengine ambao haukuwataja hata wasiposhinda nafasi za ubunge, angalau watashindwa huku wakipambana kama alivyofanya Aisha Madogo mwaka jana.Waliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.
Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha , wengine wameona aibu ya kuchukua fomu wapo wanaugulia maumivu.
Binafsi nipo nasubiri Kwa hamu kuwaona wafuatao wakiwashinda wagombea wa CCM na kushinda ubunge kupitia CHAUMA.watu hao ni
1.Catherine Ruge-Serengeti
2. Devotha Minja-Morogoro kusini
3 Susan Kiwanga-Mlimba.
4. Moza Ally
5.vitus Nkuma-Iringa mjini.
6.Aisha madogo-Dodoma mjini.
N.B mpaka sasahivi CHAUMA wanahaha kumsaka mgombea uraisi.
Here we go
😁 Oky tunawaoongeza chauma Kwa kushiriki uchaguziHao uliowataja na wengine ambao haukuwataja hata wasiposhinda nafasi za ubunge, angalau watashindwa huku wakipambana kama alivyofanya Aisha Madogo mwaka jana.
Watu wenu watabaki kusema kuwa wangeshindana wangeshinda. Chaumma tayari ina mgombea urais ambae ni Mwenyekiti wao wa sasa.
Catherine Ruge na wenzake tutawaheshimu kwa kutaa kuburuzwa na kupigania kile wanacho kiamini. Na kama watafanyiwa figisu figisu wote tutakuwa mashahidi. Kushinda au kushindwa ni sehemu ya mapambano yeyote.
Amandla...
Kupewa??Devotha minja kamkimbia Abood moro mjini, susan kiwanga anaweza kupewa ubunge mlimba.
Yes, that was the plan.Kupewa??
Thubutu.Devotha minja kamkimbia Abood moro mjini, susan kiwanga anaweza kupewa ubunge mlimba.
Hujajibu swali bado.Hao uliowataja na wengine ambao haukuwataja hata wasiposhinda nafasi za ubunge, angalau watashindwa huku wakipambana kama alivyofanya Aisha Madogo mwaka jana.