Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Umesikia hata mtu mmoja amechukua fomu Chaumma? Kila chama kina utaratibu na ratiba yake. Ukifika wakati waliojipangia watachukua tu. Muda wa kupata wagombea haupangwi na INEC.Hujajibu swali bado.
Hao wote waliotajwa, mbona mpaka sasa bado wanasita kuchukua fomu za kugombea ubunge kupitia CHAUMA?
Walisema wanaenda Chauma ili wakagombee, sasa Chauma wametangaza watu wakachukue fomu, lakini wanaG55 wamepotea mitini, fomu zimedoda.
Susan Kiwanga alishinda ubunge Mlimba. Haitakuwa ajabu akishinda tena. Devota Minja sasa ana nafasi ya kugombea kokote anakotaka. Sio lazima agombee Morogoro.Devotha minja kamkimbia Abood moro mjini, susan kiwanga anaweza kupewa ubunge mlimba.
Tangu lini? CCM hawajawahi kumshinda Kiwanga kihalali Mlimba. Ana track record.Thubutu.
Mlimba ni mali rasmi ya Rose Lwekatare (CCM).
Ona hii tikiti Mkuranga mgombea wa ubunge kupitia Chauma ashachukua fomu,wiki imepita toka Salimu Mwalim atangaze zoezi la uchukuaji fomu.Umesikia hata mtu mmoja amechukua fomu Chaumma? Kila chama kina utaratibu na ratiba yake. Ukifika wakati waliojipangia watachukua tu. Muda wa kupata wagombea haupangwi na INEC.
Au unahofia kuwa wanawasubiri wagombea kutoka CDM?
Amandla...
Tunamsubiri😁Tangu lini? CCM hawajawahi kumshinda Kiwanga kihalali Mlimba. Ana track record.
Amandla...
Wewe ni msemaji wa CHAUMA au kiherehere tu?Umesikia hata mtu mmoja amechukua fomu Chaumma? Kila chama kina utaratibu na ratiba yake. Ukifika wakati waliojipangia watachukua tu. Muda wa kupata wagombea haupangwi na INEC.
Au unahofia kuwa wanawasubiri wagombea kutoka CDM?
Amandla...
Alipotangaza alitangaza pia siku ya mwisho ya kuchukua fomu? Na huo muda umeisha? Nini kinacho kusumbua?Ona hii tikiti Mkuranga mgombea wa ubunge kupitia Chauma ashachukua fomu,wiki imepita toka Salimu Mwalim atangaze zoezi la uchukuaji fomu.
Wewe ambae ni msemaji wao toa ufafanuzi.Wewe ni msemaji wa CHAUMA au kiherehere tu?
Ukweli utajulikana tu. Oktoba sio mbali.Tunamsubiri😁
Wengi ni mahawala wa Salum mwalimu kazaa nao wengi,Hujajibu swali bado.
Hao wote waliotajwa, mbona mpaka sasa bado wanasita kuchukua fomu za kugombea ubunge kupitia CHAUMA?
Walisema wanaenda Chauma ili wakagombee, sasa Chauma wametangaza watu wakachukue fomu, lakini wanaG55 wamepotea mitini, fomu zimedoda.
Alikuwa abmnashinda kwa sapoti kubwa ya CDM, nje ya hapo ni mwepesi sanaTangu lini? CCM hawajawahi kumshinda Kiwanga kihalali Mlimba. Ana track record.
Amandla...
Waliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.
Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha , wengine wameona aibu ya kuchukua fomu wapo wanaugulia maumivu.
Binafsi nipo nasubiri Kwa hamu kuwaona wafuatao wakiwashinda wagombea wa CCM na kushinda ubunge kupitia CHAUMA.watu hao ni
1.Catherine Ruge-Serengeti
2. Devotha Minja-Morogoro kusini
3 Susan Kiwanga-Mlimba.
4. Moza Ally
5.vitus Nkuma-Iringa mjini.
6.Aisha madogo-Dodoma mjini.
N.B mpaka sasahivi CHAUMA wanahaha kumsaka mgombea uraisi.
Here we go
Na Sasa hivi Michele mpya umetoka ni kula tu ubwabwa.Mzee Rungwe Amesema wagonjwa wote Hospital watapewa Ubwabwa. Nimeipenda sana sera ya Ubwabwa.
Mbatia aliwahi kwenda Ikulu akaahidiwa wabunge 40, alipotoka huko akaandaliwa na ziara iliyoanzia mkoa wa Mbeya ambapo kiongozi huyo kutoka Chama Cha Upinzani alipokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na msafara wake ukaandaliwa na RPC.Waliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.
Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha , wengine wameona aibu ya kuchukua fomu wapo wanaugulia maumivu.
Binafsi nipo nasubiri Kwa hamu kuwaona wafuatao wakiwashinda wagombea wa CCM na kushinda ubunge kupitia CHAUMA.watu hao ni
1.Catherine Ruge-Serengeti
2. Devotha Minja-Morogoro kusini
3 Susan Kiwanga-Mlimba.
4. Moza Ally
5.vitus Nkuma-Iringa mjini.
6.Aisha madogo-Dodoma mjini.
N.B mpaka sasahivi CHAUMA wanahaha kumsaka mgombea uraisi.
Here we go
Na CDM walim support peke yake? Mbona wengine hawakushinda?Alikuwa abmnashinda kwa sapoti kubwa ya CDM, nje ya hapo ni mwepesi sana
CCM wanavyowekeza mamilion ya Hela ashinde Jimbo afu amuachie ChaumaMbatia aliwahi kwenda Ikulu akaahidiwa wabunge 40, alipotoka huko akaandaliwa na ziara iliyoanzia mkoa wa Mbeya ambapo kiongozi huyo kutoka Chama Cha Upinzani alipokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na msafara wake ukaandaliwa na RPC.
Kilichofuata ni historia na matokeo yake hata Chama akanyang'anywa kabla Mahakama haijamrydishia hapo juzi
Devotha minja kamkimbia Abood moro mjini, susan kiwanga anaweza kupewa ubunge mlimba.
Susan Kiwanga alishinda ubunge Mlimba. Haitakuwa ajabu akishinda tena. Devota Minja sasa ana nafasi ya kugombea kokote anakotaka. Sio lazima agombee Morogoro.
Amandla...
Kwani kila anayegombea lazima ashinde?Acha ujinga weweWaliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.
Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha , wengine wameona aibu ya kuchukua fomu wapo wanaugulia maumivu.
Binafsi nipo nasubiri Kwa hamu kuwaona wafuatao wakiwashinda wagombea wa CCM na kushinda ubunge kupitia CHAUMMA watu hao ni
1.Catherine Ruge-Serengeti
2. Devotha Minja-Morogoro kusini
3 Susan Kiwanga-Mlimba
4. Moza Ally
5.vitus Nkuma-Iringa mjini.
6.Aisha madogo-Dodoma mjini.
N.B mpaka sasahivi CHAUMMA wanahaha kumsaka mgombea uraisi.
Here we go