Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Ni CCM peke yake ndio inaweza kuwabeba wagombea. Wagombea wa vyama vingine wanapigana wenyewe kwa sababu vyama vyao haviwezi kutumia dola kuwabeba. Chadema ilikuwa inaangalia watu potential kama Kiwanga, Msigwa, Heche, Matiko, Mdee na wengine na kuwatumia ili kipate wabunge wa kutosha. Wangekuwa na uwezo wa kumbeba mtu, yaliyotokea 2020 yasingeweza kutokea. Chadema ilisaidia lakini juhudi kubwa ilifanywa na wagombea wenyewe kama hawa na wakina Aidan.Alibebwa na CHADEMA.
Chaumma wameanza kutoa fomu tokea June 30. Wapo waliochukua huku bara na pia ZanzibarUmesikia hata mtu mmoja amechukua fomu Chaumma? Kila chama kina utaratibu na ratiba yake. Ukifika wakati waliojipangia watachukua tu. Muda wa kupata wagombea haupangwi na INEC.
Au unahofia kuwa wanawasubiri wagombea kutoka CDM?
Amandla...
Tutawaachia majimbo kadhaaWaliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.
Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha , wengine wameona aibu ya kuchukua fomu wapo wanaugulia maumivu.
Binafsi nipo nasubiri Kwa hamu kuwaona wafuatao wakiwashinda wagombea wa CCM na kushinda ubunge kupitia CHAUMMA watu hao ni
1.Catherine Ruge-Serengeti
2. Devotha Minja-Morogoro kusini
3 Susan Kiwanga-Mlimba
4. Moza Ally
5.vitus Nkuma-Iringa mjini.
6.Aisha madogo-Dodoma mjini.
N.B mpaka sasahivi CHAUMMA wanahaha kumsaka mgombea uraisi.
Here we go
Suzan kiwanga ameshinda ubunge mara moja tu ile 2015 ya ukawa. Unavyozungumza ni kama mtu aliyewahi kushinda mara nyingiTangu lini? CCM hawajawahi kumshinda Kiwanga kihalali Mlimba. Ana track record.
Amandla...
Sawa. Lakini kwani wamefunga uchukuaji wa fomu? Kama bado, kwa nini watu waulizie kwa nini Ruge na wengine hawaja chukua? Ni upuuzi tu.Chaumma wameanza kutoa fomu tokea June 30. Wapo waliochukua huku bara na pia Zanzibar
Nimejibu ulipoandika hakuna hata mtu mmoja aliyechukua fomu. Hapo ndio nimekurekebisha, hayo mengine endeleeniSawa. Lakini kwani wamefunga uchukuaji wa fomu? Kama bado, kwa nini watu waulizie kwa nini Ruge na wengine hawaja chukua? Ni upuuzi tu.
Amandla...
Mnavyozungumza ni kama vile hajawahi kushinda kabisa. Katika mazingira ya siasa zetu ni vigumu sana kukuta mwanasiasa wa chama cha upinzani aliyeshinda zaidi ya mara mbili uchaguzi wa majimboni. Si Mbowe, si Heche, si Lissu. Wengi wanaamini kuwa wengi wao wangeshinda 2020 isingekuwa kufanyiwa figisu figisu.Suzan kiwanga ameshinda ubunge mara moja tu ile 2015 ya ukawa. Unavyozungumza ni kama mtu aliyewahi kushinda mara nyingi
Sawa, nilikosea kusema hivyo. Lakini aliisha nisahihisha aliyeniambia kuwa kuna mgombea amechukua fomu Segerea.Nimejibu ulipoandika hakuna hata mtu mmoja aliyechukua fomu. Hapo ndio nimekurekebisha, hayo mengine endeleeni
Ngoja nikuulize, kiwanga kagobea ubunge hapo mlimba mara ngapi?Mnavyozungumza ni kama vile hajawahi kushinda kabisa. Katika mazingira ya siasa zetu ni vigumu sana kukuta mwanasiasa wa chama cha upinzani aliyeshinda zaidi ya mara mbili uchaguzi wa majimboni. Si Mbowe, si Heche, si Lissu. Wengi wanaamini kuwa wengi wao wangeshinda 2020 isingekuwa kufanyiwa figisu figisu.
Kiwanga kushinda mara moja sio sababu ya kumkebehi maana amekuwa askari mwaminifu wa chama chake kwa miaka yote aliyo kitumikia. Mkosoeni kwa uamuzi wake wa kuhama CDM lakini msimbeze kuwa ati alikuwa anabebwa tu.
Amandla...
Ubunge watauota tu Yaani, ccm itazoa majimbo yote hayoWaliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.
Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha , wengine wameona aibu ya kuchukua fomu wapo wanaugulia maumivu.
Binafsi nipo nasubiri Kwa hamu kuwaona wafuatao wakiwashinda wagombea wa CCM na kushinda ubunge kupitia CHAUMMA watu hao ni
1.Catherine Ruge-Serengeti
2. Devotha Minja-Morogoro kusini
3 Susan Kiwanga-Mlimba
4. Moza Ally
5.vitus Nkuma-Iringa mjini.
6.Aisha madogo-Dodoma mjini.
N.B mpaka sasahivi CHAUMMA wanahaha kumsaka mgombea uraisi.
Here we go
CCM hatunaga huo ujinga wa kuachiana majimbo. Mtu umeshatuma Tsh 200m kulipata Jimbo ukamuachie eti James Mboe?Yetu macho
Hakuna fair play huko, kabisa?CCM hatunaga huo ujinga wa kuachiana majimbo
Tunatimia pesa nyingi. Kuweka sawa Wajumbe halafu eti uachie CHAUMWA?Hakuna fair play huko, kabisa?
Ila pesa wamepataCHAUMMA imekufa rasmi