Nasubiri nini kuamini Rais Samia alitaka(ga) kujiuzulu Awamu ya 5?

'Natural Selection'
Sawa kabisa
 
Mkuu mbona kifaru hana speed
Labda speed ya light
Mkuu kumbuka kifaru huwa hajui kuwa Kuna shimo ama mlima ni mbele mbeleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,
Tafuta kipande Cha video Lisu akiwa amezuiliwa kwenda kupiga kampen kibaha akiwa maeneo ya kiluvya hapo ndio utaelewa kuwa huyu jamaa ni mtu ganiπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒβœŒοΈβœŒοΈπŸ€
 
Huenda pia Lissu kachangia kwa kiasi flani mwendazake kwenda zake kutokana na minyoosho ya 2020 kwenye kampeni hadi kupelekea umeme wa moyo kupiga shoti kwa stress.
 
Lissu alitwambia mapema kwamba magufuli ni rais wa hovyo hovyo na waajabu ajabu.Wajinga walimpinga Lissu,sasa hivi wamekubali wenye kuwa awamu ya 5 tumeongozwa na rais wa ajabu aliye kuwa dikteta uchwara
 
Mama hakuupenda kabisa uongozi wa dikteta jiwe. Ila alilazimika kubakia kwasabb hakuwa na namna
Acheni kuongea ujinga. Hakuupenda utawala wake kivipi wakati hakuwahi kujiuzulu? Kwa maelezo yako haya ina maana tuna Kiongozi mnafiki? Hakuridhika na utawala huo kivipi wakati anajinasibu kuwa yeye hana tofauti na Magufuli?
 
watanzania tumshukuru sana Mungu
Hakuna Mungu mjinga wa namna hiyo! Kwa hiyo, unaamini Mungu ndo alimtoa Magufuli Duniani au alikufa kwa Ugonjwa? Au unaamini Mungu kazi yake ni kusikia Sala kuwa fulani hatakiwi na kisha Mungu kuchukua hatua? Kwa hiyo, mfano huyu mnaemshabikia akifa atakuwa ni Mungu amesikiliza Sala za akina nani? Zitakuwa Sala Za wale wasiompenda au wale wanaompenda?
 
Tofaut kubwa kat yao ni matendo,hebu shirikisha ubongo bc
Acheni kuongea ujinga. Hakuupenda utawala wake kivipi wakati hakuwahi kujiuzulu? Kwa maelezo yako haya ina maana tuna Kiongozi mnafiki? Hakuridhika na utawala huo kivipi wakati anajinasibu kuwa yeye hana tofauti na Magufuli?
 
Tulitawaliwa kama mateka.
Tena mateka wenyewe tumetekwa na magaidi.kama Isis,Al Shabab.
Kila siku wanachinja mateka mmoja,hujui kesho atachinjwa Nani,unaanza kuwaza sijui Mimi ndo kesho naliwa kichwa!!

Aisee mwacheni Mungu aitwe Mungu.
 
Baada ya yule Bwana kukata kamba nchi Ilizizima kwa furaha utafikri wametangaziwa kifo cha shetani na wote wanakwenda kuingia peponi.
 
Kama kilichodaiwa ni kweli, mimi ningemheshimu sana.

Na wala sidhani kama ingeleta picha mbaya kwa wananchi na jumuia ya kimataifa.

Kinyume chake, nadhani ingetuongezea heshima zaidi.

Kujiuzulu ukiwa hukubaliani na bosi wako ni jambo la heshima mno.

Linaonyesha jinsi ulivyo mtu wa kanuni. Na linaonyesha huna tamaa ya madarakani.
 
Ni maneno tu ya mitaani! Ajiuzulu halafu ale wapi? Sura ya kujuzulu iko wapi? Mtu anayetanguliza kubadilisha mavazi kwa Siku hata Mara tatu, anaweza kuwa na vinasaba vya msimamo maishani? Msimamo chanya unaambatana na kujikatalia Kwa ajili ya wengi. Kama sifa hiyo haipo Ni ndoto za kuishi Mwezini.
 
Wewe acha hizo yule Dr wa Tabora alipo acha ajira Jiwe alitangaza vita mpaka hospital iliyo muajiri ifutwe hadharani
Lisu ilitangazwa hadharani ashughulikiwe na akashughulikiwa
Yule bw wa Wizara ya fedha aliuawa kifedhuli sana
Hivyo Mama ulitaka naye aende kirahisi
Nyie Wachungaji ni watu hatare sana!
Hata wewe Nyani huko ulipo naimani ni muongoza uhalifu huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…