Nasubiri nini kuamini Rais Samia alitaka(ga) kujiuzulu Awamu ya 5?

Hahahaa okay!
 
 
Jamaa wamezidi ujinga mwingi hao
 
Tungeona mabadiliko kama dk mpango kutolewa kwenye baraza la mawaziri,yeye ndio kaharibu mifumo ya kodi ya nchi hii kubambikizia wafanyabiashara kodi,kufunga ac zao,kuwapora pesa zao n kuwapa kesi,
Pili kumpa doto james ukatibu wakti ni kibaka na tuhuma kibao zinamuhusu.....mama anachoweza ni kulegeza macho sio kutawala
 
Halafu cha ajabu naye sasa ameaminishwa anaweza na amejiona anaweza kiasi yuko busy kuunda timu ya kumsaidia kushinda!
 
Hii ishu ilianza kipindi alienda nairobi akowa ziarani huko akaenda kumwona lissu hospital alikolazwa kimatibabu baada ya kushambuliwa na marisasi.

Aliporudi alifokewa sana kama mtoto mdogo.

Naomba niishie hapo
Akumtandika makofi kweli
 
una chuki kama za Mzee wa Legacy
 
kwa sasa mama anacheza ana akili za wajinga wajinga,ili apate kuungwa mkono endapo ataharibu kwa jambo lolote.

haya madai ya kujiuzulu hayajulikani yalitokea wapi,hayana tofauti na yale ya aliyekuwa cdf kupewa sumu.mara zote ccm kwa kutumia udhaifu wa hurka za watanzania(umbea)hutoa kichwa cha habari kisha story kuwaachia wenyewe.

wacha tukubali alitaka kujiuzuru,
hataki viongozi aliowaacha magufulu,hataki miladi aliyoianzisha magufuli,hataki historia ya magufuli,hataki aina ya siasa za magufuli,na wala hataki kuwa kama magufuli,lakini 2025 ndio tutajua mama ni ccm mtiifu kabisa,na anaishi kwa radhi na beat kama la mwendazake.

naskia ana mpango wa kubadirisha katiba.
 
Hii ishu ilianza kipindi alienda nairobi akowa ziarani huko akaenda kumwona lissu hospital alikolazwa kimatibabu baada ya kushambuliwa na marisasi.

Aliporudi alifokewa sana kama mtoto mdogo.

Naomba niishie hapo
safari zote za rais,makamu,waziri mkuu,na viongozi wengine wakuu wa taasisi zinatoka kwa katibu mkuu kiongozi(CS)zikiwa na baraka zote za rais mwenyewe.

labda hapo stand mnaamini makamu alitoroka magogoni kimya kimya[emoji16].sijui ndege ziliruhusiwaje kuruka na kupewa anga mpaka nairobi!!!
 
una chuki kama za Mzee wa Legacy
hapana ni logic tu anajaribu kuwaasa mtumie.

Mungu hajawahi kuwa na upande,ndio maana huchukua hata wababa wanaotegemewa na ukoo mzima wanae wakiwa chumba cha mtihani.

lakini team roho mbaya mnadhani Mungu mmeshamwelewa,na alijibu maombi yenu kiufasaha kabisa.
 
Akumtandika makofi kweli
alimpiga,si hata mkewe alikuwa anampiga mateke mpaka akawa analia akina mange wanapita nje wanasikia akiomba msaada[emoji23][emoji23][emoji23]
 
alimpiga,si hata mkewe alikuwa anampiga mateke mpaka akawa analia akina mange wanapita nje wanasikia akiomba msaada[emoji23][emoji23][emoji23]
Ebwanae kumbe jamaa alikuwa bandidu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…