Nasubiri nini kuamini Rais Samia alitaka(ga) kujiuzulu Awamu ya 5?

Lissu bado anakazi ya kufanya nchi hii Mungu ajawahi kufanya kazi kwa hasara.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Sometimes mungu huwapa watu wake kiongoz mwema na huwapa pia kiongoz mwovu,Ili wapate kumkumbuka na kumshukuru kwa kila hatua ambazo kiongoz huyo mwema au mwovu anawapitisha,Magufuli mwema au mwovu??kama ni mwema why walalahoi wengi Wana celebrate kuondoka kwake
 
We ni nyani MASIKINI kwakweli Sasa ulitaka mkuu wa nchi avae kauka nikuvae?
 
Hata akibadilisha mara kumi wewe inakuhusu Nini?
 
Walalahoi wa humu jukwaani sio wengi kwa kuwalinganisha na wale walioweka kanga ili gari la mwili liweze kupita juu. JPM alieleweka sana kwa watu wa hali ya chini, hakujikweza mbele ya mwananchi wa kawaida aliendelea kuwa kama kipindi kile alipokuwa waziri wa ujenzi.
 
Mwendazake alimpeleka ubalozini , dr mpoki kisa alimuhudumia lisu Dodoma hsp.
 
Umeandaje we mbwa. Mbona hueleweki
 
Mwarobaini wa huu upuuzi wote ni katiba mpya tu
Mwarobani ni uzalendo maana uzalendo unatoka moyoni laikini katiba ni maandishi ambayo huwa na maana sana yakikutana na mzalendo wa kweli. Lakini kwa watu wengi nyumbu hudhania katiba ndo kila kitu. Hata qurani na biblia zipo na kila leo mnatenda zambi maana hamko tayari kuacha dhambi kutoka moyoni na ukumbuke hawa wanaopiga kelele za katiba mara nyingi hutizama matumbo yao tu na wala sio wananchi wa kawaida. Siku nyingine utoe ufafafnuzi nchi gani iliyo na katiba nzuri ambayo imemaliza matatozo yote? Kumbuka mtu akiwa mzalendo katiba ni kitu kidogo sana maana kaitiba ni mwongozo tu na taratibu amabazo hata sasa zipo na zinafanya kazi vizuri.
 
Wa lala hoi wa humu jamii forum? Unafiki tu.
 
Hivi wachina ni wazalendo kwa taifa lao au wana katiba nzur?
 
alimpiga,si hata mkewe alikuwa anampiga mateke mpaka akawa analia akina mange wanapita nje wanasikia akiomba msaada[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi wachina ni wazalendo kwa taifa lao au wana katiba nzur?
ni wazalendo,maana katiba yao imeruhusu rais atawale mpaka akichoka.

kitu ambacho sio democrasia kwa mujibu wa magharibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…