jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makene kwa sasa amevurugwa na wabunge wanaohama!Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Subutu, tokea lini Mtumwa akakaripia Bwana wake. Saa nyingine wa TZ , tunajifumba macho, na kujifanya hatuujui ukweli.Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Na CCM tamko lao litatoka lini....!?Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Mweusi wa Marekani sio ndugu yako wala hakujui, tamko la nini? Heri kuishauri CCM kutoa tamko la Watanzania weusi waliopotezwa na wasiojulikanaNikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani
Hilo nalo neno.Polisi wa Tanzania wafanye haya kwa ndugu wa Mwangosi ndo mje na porojo kama hizi. Mbona hatukuwasikia mkilaani mauaji ya Mwandishi asiye na hatia?View attachment 1464900
Kwa sasa Chadema kimekuwa chama cha mfukoni!Hata John Mrema maji yamemfika shingoni
one step at a time.Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Mkuuu, kuna uzi mmoja ulipandishwa hapa jukwaani, ulitajwa tajwa saaaaaana,pamoja na na yule Bia yetu ,uliuonaaa?Wanatafakari kupigwa billion 8.9 hawako sawa wahurumie tu
Walivyokuwa wanatuma barua marekani tulitegemea kuwa wanasimamia haki duniani koteone step at a time.
waacheni Chadema wamalizane kwanza na huyu mkoloni mweusi ziraili mtoa roho .... aking'oka huyu mweusi ndiposa watahamia kwa jirani.
simple logic!