Nasubiri tamko la Wanademokrasia CHADEMA kulaani mauaji yaliyofanywa na Polisi wa Marekani

Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.

CC: Mmawia
Ccm wameshatoa?
Nilidhani utani kumbe kweli unapaswa kuwa "ignored"

Dear members pease "ignore" jingalao
 
Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.

CC: Mmawia
Kwani ccm wenyewe wameshatoa TAMKO LA KUWAPONGEZA wale polisi waiofanya yale mauaji?
 
Walivyokuwa wanatuma barua marekani tulitegemea kuwa wanasimamia haki duniani kote
barua zilikuwa ni kwa ajili ya kupata support yao dhidi ya uhalifu unaofanywa na mkoloni mweusi.
 
Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.

CC: Mmawia

Mbatia na Lipumba hawawezi hilo, au package ya manunuzi hayatoi muongozo wa wao kutolea matamko ya hayo?
 
CCM sio chama cha kushobokea...tumewaachia "wanademokrasia wasemezane na wanademokrasia wenzao"
Sisi kazi yetu ni kuwaendeleza watanzania

Badala ya kuleta mada za kipuuzi, ni vyema ungeweka List ya vile viwanda 100 kila mkoa, ili tujue mna jipya. Huu ni mwaka wa tano tuone kama mlikuwa na lolote jipya kwenye ajira.
 
Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.

CC: Mmawia
 
Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.

CC: Mmawia Ya kina Ben Saanane,Azory Gwanda vp huyataki?.
 
Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.

CC: Mmawia
Nashangaa Zitto yupo kimya mpaka sasa. Au ndio kavalishwa barakoa?
 
Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.

CC: Mmawia
Kumbe nyie mnaunga mkono mauaji hayo ndio maana hamtarajii kutoa tamko, eti eeh?
 
Yaani wewe kati ya watu walio kata tamaa ya ccm kuendelea kushika dola wewe ni no one

Back
Top Bottom