Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumpuuza Jingalao ni sawa na kukimbia ulingoni.Huwezi kuwaacha watu wafakamie sumu eti kwa sababu ni hiyari ya moyo wao.
Kumjibu na kutokumjibu vina uzito sawa. Nimechagua kumjibu ili niwakurupushe wapumbavu kutoka mafichoni. Na kweli wamejitokeza.
Wito wangu ni ule ule jingalao apuuzwe.
Tunamsubiri Mbowe aongee na Taifa kuhusu kifo cha George Floyd maana na yeye siku hizi kajipa ukuu eti ataongea na Taifa. Vipi na yule Shoga wa Ubeligiji hana taarifa za mauaji kule Marekani?
KifuatachoKumpuuza Jingalao ni sawa na kukimbia ulingoni.
Hoja hujibiwa kwa hoja na sio kumpuuza mjenga hoja