Hawa walikuwa wanaprotest tu na kuonesha jinsi gani goti linaweza kuuaPolisi wa Tanzania wafanye haya kwa ndugu wa Mwangosi ndo mje na porojo kama hizi. Mbona hatukuwasikia mkilaani mauaji ya Mwandishi asiye na hatia?View attachment 1464900
Ccm wameshatoa?Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Haya yanayoletwa humu dhidi ya tukio la Floyd siyo huruma bali ni kutaka kujustify ukatili wa polisi wa Tanzania ionekane hata Marekani na Ulaya kuna unyama kama wa Tanzania. Unyama ni Unyama tu utendwe Marekani au China, wasirumie tukio la Marekani kuhalaisha udikiteta.Hilo nalo neno.
Kwani ccm wenyewe wameshatoa TAMKO LA KUWAPONGEZA wale polisi waiofanya yale mauaji?Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
barua zilikuwa ni kwa ajili ya kupata support yao dhidi ya uhalifu unaofanywa na mkoloni mweusi.Walivyokuwa wanatuma barua marekani tulitegemea kuwa wanasimamia haki duniani kote
Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
CCM sio chama cha kushobokea...tumewaachia "wanademokrasia wasemezane na wanademokrasia wenzao"
Sisi kazi yetu ni kuwaendeleza watanzania
Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia Ya kina Ben Saanane,Azory Gwanda vp huyataki?.
Nashangaa Zitto yupo kimya mpaka sasa. Au ndio kavalishwa barakoa?Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Kumbe nyie mnaunga mkono mauaji hayo ndio maana hamtarajii kutoa tamko, eti eeh?Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Wakati nyinyi kila siku mnawapigia magoti na bakuli lenu?Hawawezi maana wale ndio mabwana zao
Ndiyo maana unajiita MJINGA
Wewe ni jinga laoShida ni nini hapo?
Ulichowapa wewe nao wametoa hichoChadema wakiona muzungu meno yote nje
Sijui Mabeberu yaliwapa nini