Wazungu wametuzidi sana akili watu weusi. Akili ya kuwatala ktk nyanja zote tumeshindwa. Weusi walioko marekani wanalalamika wananyanyaswa, tunawaonea huruma kwamba pengine ni kwa sababu ya uhamiaji sio nchi ya asili yao. Lakini hata sisi weusi tulioko kwetu tunawaogopa sana wazungu, angalia watu wa ccm wakiongozwa na mwenyekiti wao wanawachukia sana wapinzani, uwezo wa kubadilisha katiba ili kuwa na ccm peke yake wanao mkubwa, hata hivyo wanashindwa kubadilisha kwa kuwaogopa wazungu. Kwa hali ilivyo sasa mtu wa ccm atakuwa mnafiki akisema anapenda upinzani uwepo. Kwa hiyo wazungu wametufanya weusi tulioko huku kushindwa kujifanyia maamuuzi yetu. Jinsi akina akina jpm, ndugai, siro wanavyofukuza na akina mbowe wasingekuwa wanawaogopa mabeberu wangesha badili katiba zamani wabaki wao wanaendesha siasa za chama kimoja kwa kujiachia