Nasubiria kuona WABUNGE MACHAWA wakisema SAMIA AONGEZEWE MIAKA MINGINE 20! Thubutuuuuuuu

Nasubiria kuona WABUNGE MACHAWA wakisema SAMIA AONGEZEWE MIAKA MINGINE 20! Thubutuuuuuuu

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
4,006
Reaction score
9,542
Labda kama wao hawakuzika ndugu zao ile MO29

na itafka sku tu watatoa ya moyoni kwa yanayowakuta hasa hawa wakuu wa Mkoa ambao walikubali kutumika kuua Raia majumbani mwao!

Nategemea wabunge wapitishe samia aongezewe Miaka 20 ili iwe hakuna nywinywi wala nywinywinywi! ili akiua binadamu wenzie kama anaua kunguni halafu CDF afanye kama alivyofanya kwenye MO29 atoe magari kwenda kuchoma miili WAZO HILL kwenye kiwanda cha bwana MSOGA na wengine kufukia mabwepande

Wabunge wapitishe pia wakuu wa MKOA woote wawe WAZANZIBARI kama yule wa SONGWE aliyepelekwa kwa kazi maalumu ya KUUA MAKAFIRI hata kama katiba haijaruhusu kuwaweka wao kwenye ukui wa mkoa!

ama kwa hakika MAKAME amefanya kazi yake vizuri KAUA HASA na atakuwa amepewa zawadi kubwa!

MAYA ALLAH GIVE YOU KILLERS THE SAME FATE
 
what goes around, comes around!
just saying!
 
Mungu atupe wepesi tupate nguvu kuvumilia baada ya KUZIKA NGUO ili hali wapendwa wetu walizikwa kwenye shimo.la taka na wengine kuchomwa!
 
Hivi kuna upungufu wa chawa jukwaani au? Mbona siku hizi siwaoni au fungu la kuwahudumia lishakata?
 
WanaCCM wengi wanajitenga na huyu mama. Hata mzee Wasira tangu atembelewe na Gen Z MO29, hajaropoka tena!
 
Back
Top Bottom