Dah itasaidia dawa ya meno zimeshindwa midawa ya hospitals.I can advice
Jaribu dawa ya meno Whitedent Herbal. Ile ya kijani. Paka twice per day mpaka upne tatizo linapungua.
Nb: kabla ya kupaka oga kwanza na ukauke.
I wish you quick recovery
Nakupa dawa bure hapa siku mbili tu uje unipe mrejesho ni uhakika asilimia 90, tafuta jani la alovera jipake ile juice yake sehemu husika asubuhi na jioni siku mbili tu uje ushukuru hapa.Wakuu mnisamehe bure mwandiko wangu sio mzuri sana, mwenye Lengo la kunisadia anisaidie tu kama Kanielewa...
Afanyie Kazi VemaTafuta dawa za fungus za kumeza, mara nyingi wenye kuzifahamu vizuri hizi ni dermatologists. Hakikisha na mwenza wako anatibiwa na ikiwezekana acheni sex kipindi cha matibabu...
Alete Mrejesho HarakaNakupa dawa bure hapa siku mbili tu uje unipe mrejesho ni uhakika asilimia 90,tafuta jani la alovera jipake ile juice yake sehemu husika asubuhi na jioni siku mbili tu uje ushukuru hapa
Acha makelele, kanunue hiyo dozi. Halafu fungus wako wanasababishwa na tabia yako ipi?Chubu nishapk nyingi 50 zinafk nishakunywa madawa mengi sana
Pole kwa maswahibu. Kama unahitaji dawa ya kienyeji, chukua punje 10 za kitunguu swaumu vitwangwe na weka chumvi kidogo na maji ya vuguvugu kijko kimoja au viwili. Changanya then kunywa kwa siku 5 asubuhi na jioni. Visipokauka uchawi upo.Wakuu mnisamehe bure mwandiko wangu sio mzuri sana, mwenye Lengo la kunisadia anisaidie tu kama Kanielewa...
Mkuu nakuja pm kukuelekeza namna ya kupona hiyo fangasi kwa kutumia Wild neem, mafuta ya Nazi na Alovera hakika utapona na kusahau tatizo hilo. KUNA JAMBO 1 WENGI HAWALITEKELEZI KATIKA KUJIBU FANGAS FUATANA NA MIMI PM MKUUNishafanya hii kitu amna majibu yoyote
Kunywa fluconazol na dawa ya kupaka hile scabomaWakuu mnisamehe bure mwandiko wangu sio mzuri sana, mwenye Lengo la kunisadia anisaidie tu kama Kanielewa.
Ni hivi wakuu? Eti wapi Chimbuko La dawa za asili yaani ni sehemu gani mkoa gani au ni kijiji gani ambako Ni kuna wataalamu wa Dawa za asili Nikiwapata hao Tatizo Langu Linaweza Likaisha maana hospital nimechemka...