Nasumbuliwa na ganzi kwenye vidole vya mkono na hivi karibuni imesambaa kwenye miguu, shida inaweza kuwa nini hapa?

Hii shida ilianza taratibu mwezi wa 12 mwanzoni ilianzia kwenye ncha za videle vya mkono. Nilijua itapona yenyewe ila sioni dalili.

Wiki moja iliyopita naona ni kama inahamia kwenye nyayo na vidole vya mguu.

Nilienda hospital, wakafanya full blood picture, cholesterol, sugar, urinalysis n.k ila nililuwa nipo okay.

Kuna issue ingine, mara mbili nilizoenda hospital kila walinipima blood pressure wananiambia ipo juu halafu pia kitu kingine kwenye viganja vya mkono, idadi ya misuli ni kama imeongezeka.

Embu naombeni wataalamu wa afya mniambie shida yaweza kuwa nini hapa na tiba yake, inanitesa kisaikolojia hii hali.
Ukosefu wa vitamin b or check hiv
 
Fanya DETOXIFICATION

Usinywe wala usile kitu chochote cha kiwandani, soda, bia, maji, juisi sijui na manini mengine.....

Stay natural, lala sana vya kutosha, kula vyakula vya asili tu.... Usimeze madawa ya hospitali wala usile sukari abadani maana sukari ndio ADUI MKUU.

Ndani ya miezi mitatu au minne rudi hapa, kwanza utang'ara utakuwa na sura kama ya mtoto.

Mwili utajiponya wenyewe kila udhaifu. Ngozi NG'ARI NG'ARI.

Na ukitaka kuwakomesha wambea, kila siku asubuhi kunywa juisi ya limao.... utayaangamiza maparasites yote halafu damu itakuwa na PH nzuri sana....

When the blood is good, the body will self-rejuvanate, hata hizo neuropathy zitaisha.

Cc: Kalpana Lamomy Extrovert
 
Asante mkuu nitafanya hivi plus mazoezi pia
 
Nahisi pia ni kweli, kabla ya mwezi wa 12, i was not okay, kuna mambo yalinitokea mwanangu aliumwa, mimi pia nilitoka kuumwa sababu ya lishe duni (Baada ya wife kuhamia mkoa kikazi lishe yangu haijawa nzuri) kwahiyo from August to November nilikuwa na kipindi fulani cha stress.

Nina hisia kwamba shock ya stress ndo imenipa hii outcome ya high BP
Pole sana
 
Hii shida ilianza taratibu mwezi wa 12 mwanzoni ilianzia kwenye ncha za videle vya mkono. Nilijua itapona yenyewe ila sioni dalili.

Wiki moja iliyopita naona ni kama inahamia kwenye nyayo na vidole vya mguu.

Nilienda hospital, wakafanya full blood picture, cholesterol, sugar, urinalysis n.k ila nililuwa nipo okay.

Kuna issue ingine, mara mbili nilizoenda hospital kila walinipima blood pressure wananiambia ipo juu halafu pia kitu kingine kwenye viganja vya mkono, idadi ya misuli ni kama imeongezeka.

Embu naombeni wataalamu wa afya mniambie shida yaweza kuwa nini hapa na tiba yake, inanitesa kisaikolojia hii hali.
Majibu ya sukari yalisemaje
 
Fanya DETOXIFICATION

Usinywe wala usile kitu chochote cha kiwandani, soda, bia, maji, juisi sijui na manini mengine.....

Stay natural, lala sana vya kutosha, kula vyakula vya asili tu.... Usimeze madawa ya hospitali wala usile sukari abadani maana sukari ndio ADUI MKUU.

Ndani ya miezi mitatu au minne rudi hapa, kwanza utang'ara utakuwa na sura kama ya mtoto.

Mwili utajiponya wenyewe kila udhaifu. Ngozi NG'ARI NG'ARI.

Na ukitaka kuwakomesha wambea, kila siku asubuhi kunywa juisi ya limao.... utayaangamiza maparasites yote halafu damu itakuwa na PH nzuri sana....

When the blood is good, the body will self-rejuvanate, hata hizo neuropathy zitaisha.

Cc: Kalpana Lamomy Extrovert
Kwa wenye asili ya vidonda vya tumbo, limao si itakua na madhara kwao mkuu?
 
Back
Top Bottom