Ooh iliyochemshwa au kukatwa katwa kama kachumbari (ikiwa raw)?Piga kabichi kwa wingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh iliyochemshwa au kukatwa katwa kama kachumbari (ikiwa raw)?Piga kabichi kwa wingi
Hebu ingiza mwili ktk autophagy. Mara moja kwa wiki.NImeazimia hilo pia maana pia mchana nikijaribu kutembea kidogo natokwa jasho sana halafu ni dizaini kama inanipa relief fulani
Powa powaGugo
Asante nitafuata ushauri mkuuKula Vitamin nyingi sana Neva zako hazina mshikamano tena kula Vitamib B12 kula matunda kwa wingi
Asante mkuu kwa ushauriHebu ingiza mwili ktk autophagy. Mara moja kwa wiki.
Asante mkuu wanguPole sana
Asante saana mkuuPole mkuu
Hapo kwenye mienendo yako inaridhisha tufafanulie. Maana unaweza ukaletewa hayo magonjwa na mtu unaemuamini sana.Umri: 34
Uzito: 69 (sio mnene)
Kazi yangu: Mwalimu
Ajali ya mgongo: Hapana
Presha: Hapana (ila hivi vipindi vya kama mwezi mmoja kila nikienda hospital wakipima nakutwa na pressure ipo juu, japo hata madaktari hawajishughulishi kutoa comment yeyote)
Sukari: Juzi kati wiki kama 2 zilizopita walinipima wakasema ipo normal
Syphilis na HIV: Sijapima ila mienendo yangu inaniridhisha, na mbali na hiyo gazi sina dalili yeyote ya kuumwa popote
Fanya mazoezi kidogo Kidogo ya kutembea umbali mrefu kidogo, fanya kwa kutumia Google health care App itakusaidia kujua hali yakoNImeazimia hilo pia maana pia mchana nikijaribu kutembea kidogo natokwa jasho sana halafu ni dizaini kama inanipa relief fulani
Mchawi HIV hapoUmri: 34
Uzito: 69 (sio mnene)
Kazi yangu: Mwalimu
Ajali ya mgongo: Hapana
Presha: Hapana (ila hivi vipindi vya kama mwezi mmoja kila nikienda hospital wakipima nakutwa na pressure ipo juu, japo hata madaktari hawajishughulishi kutoa comment yeyote)
Sukari: Juzi kati wiki kama 2 zilizopita walinipima wakasema ipo normal
Syphilis na HIV: Sijapima ila mienendo yangu inaniridhisha, na mbali na hiyo gazi sina dalili yeyote ya kuumwa popote
Yes pima Presha ikiwa 140/90-159/100 tumia Ushauri nlokupa ili uishushe Ndani ya miezi mitatu na iwe ndo aina yako ya Maisha.Nashukuru sana mkuu wangu umenipa elimu nitajitahidi niende tena hospital kucheki BP ipo ngapi..
Kwenye zoezi pia nilikuwa na plan nianze sema nimekuwa mzito ila nitatilia maanani hilo.
Hii hali yanikosesha raha kabisa
Asante mkuu nitafanyia kazi ushauri wakoYes pima Presha ikiwa 140/90-159/100 tumia Ushauri nlokupa ili uishushe Ndani ya miezi mitatu na iwe ndo aina yako ya Maisha.
Ikiwa juu ya Hapo , Anza dawa.
Kuna Dawa pia utapewa za kukusaidia kuondoa hiyo hali ya Ganzi pamoja na za Kutibu kisababishi Cha Ganzi hiyo.
Nitapima tu na hiiMchawi HIV hapo
Asante kiongoziFanya mazoezi kidogo Kidogo ya kutembea umbali mrefu kidogo, fanya kwa kutumia Google health care App itakusaidia kujua hali yako
Daaaah ila kweli lakini, nitalishughulikia hiliHapo kwenye mienendo yako inaridhisha tufafanulie. Maana unaweza ukaletewa hayo magonjwa na mtu unaemuamini sana.
Hakuna wa kukupinga Bichwa aka Braza kwny ishu za afya asili...Fanya DETOXIFICATION
Usinywe wala usile kitu chochote cha kiwandani, soda, bia, maji, juisi sijui na manini mengine.....
Stay natural, lala sana vya kutosha, kula vyakula vya asili tu.... Usimeze madawa ya hospitali wala usile sukari abadani maana sukari ndio ADUI MKUU.
Ndani ya miezi mitatu au minne rudi hapa, kwanza utang'ara utakuwa na sura kama ya mtoto.
Mwili utajiponya wenyewe kila udhaifu. Ngozi NG'ARI NG'ARI.
Na ukitaka kuwakomesha wambea, kila siku asubuhi kunywa juisi ya limao.... utayaangamiza maparasites yote halafu damu itakuwa na PH nzuri sana....
When the blood is good, the body will self-rejuvanate, hata hizo neuropathy zitaisha.
Cc: Kalpana Lamomy Extrovert
Pole sana mkuu hiyo hali itibu kwa maganda ya karanga tu chemsha hayo maganda tumia kikombe kutwa mara 3 utaleta mrejesho ukipendaHii shida ilianza taratibu mwezi wa 12 mwanzoni ilianzia kwenye ncha za videle vya mkono. Nilijua itapona yenyewe ila sioni dalili.
Wiki moja iliyopita naona ni kama inahamia kwenye nyayo na vidole vya mguu.
Nilienda hospital, wakafanya full blood picture, cholesterol, sugar, urinalysis n.k ila nililuwa nipo okay.
Kuna issue ingine, mara mbili nilizoenda hospital kila walinipima blood pressure wananiambia ipo juu halafu pia kitu kingine kwenye viganja vya mkono, idadi ya misuli ni kama imeongezeka.
Embu naombeni wataalamu wa afya mniambie shida yaweza kuwa nini hapa na tiba yake, inanitesa kisaikolojia hii hali.
Business as usualNliwahi kupata hali kama hiyo ya ganzi kwenye vidole vya mikononi na miguuni kwenye visigino ila mimi BP iligundulika iko juu nikaanza dawa since nimekunywa hali ya ganzi iliisha japo ni sheeeda tupu naishi kwa losatarn na atenol nikaambiwa nikianza nisiache ni kama ARV 😥