Nasumbuliwa na ganzi kwenye vidole vya mkono na hivi karibuni imesambaa kwenye miguu, shida inaweza kuwa nini hapa?

Ukosefu wa vitamin b or check hiv
 
Fanya DETOXIFICATION

Usinywe wala usile kitu chochote cha kiwandani, soda, bia, maji, juisi sijui na manini mengine.....

Stay natural, lala sana vya kutosha, kula vyakula vya asili tu.... Usimeze madawa ya hospitali wala usile sukari abadani maana sukari ndio ADUI MKUU.

Ndani ya miezi mitatu au minne rudi hapa, kwanza utang'ara utakuwa na sura kama ya mtoto.

Mwili utajiponya wenyewe kila udhaifu. Ngozi NG'ARI NG'ARI.

Na ukitaka kuwakomesha wambea, kila siku asubuhi kunywa juisi ya limao.... utayaangamiza maparasites yote halafu damu itakuwa na PH nzuri sana....

When the blood is good, the body will self-rejuvanate, hata hizo neuropathy zitaisha.

Cc: Kalpana Lamomy Extrovert
 
Asante mkuu nitafanya hivi plus mazoezi pia
 
Pole sana
 
Majibu ya sukari yalisemaje
 
Kwa wenye asili ya vidonda vya tumbo, limao si itakua na madhara kwao mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…