Nasumbuliwa na ganzi kwenye vidole vya mkono na hivi karibuni imesambaa kwenye miguu, shida inaweza kuwa nini hapa?

Hapo kwenye mienendo yako inaridhisha tufafanulie. Maana unaweza ukaletewa hayo magonjwa na mtu unaemuamini sana.
 
NImeazimia hilo pia maana pia mchana nikijaribu kutembea kidogo natokwa jasho sana halafu ni dizaini kama inanipa relief fulani
Fanya mazoezi kidogo Kidogo ya kutembea umbali mrefu kidogo, fanya kwa kutumia Google health care App itakusaidia kujua hali yako
 
Mchawi HIV hapo
 
Nashukuru sana mkuu wangu umenipa elimu nitajitahidi niende tena hospital kucheki BP ipo ngapi..

Kwenye zoezi pia nilikuwa na plan nianze sema nimekuwa mzito ila nitatilia maanani hilo.

Hii hali yanikosesha raha kabisa
Yes pima Presha ikiwa 140/90-159/100 tumia Ushauri nlokupa ili uishushe Ndani ya miezi mitatu na iwe ndo aina yako ya Maisha.

Ikiwa juu ya Hapo , Anza dawa.

Kuna Dawa pia utapewa za kukusaidia kuondoa hiyo hali ya Ganzi pamoja na za Kutibu kisababishi Cha Ganzi hiyo.
 
Asante mkuu nitafanyia kazi ushauri wako
 
Hakuna wa kukupinga Bichwa aka Braza kwny ishu za afya asili...
Mleta hoja ishi humu humu kwny hii comment ya Braza..
 
Pole sana mkuu hiyo hali itibu kwa maganda ya karanga tu chemsha hayo maganda tumia kikombe kutwa mara 3 utaleta mrejesho ukipenda
 
Business as usual
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…