Hiyo ni presha! Shida hukuambiwa chanzo chake.Lakini kwa maelezo yako shida inaweza kuwa kwenye mishipa yako ya damu( kusinyaa) au blood viscosity Mambo ambayo yanaweza kuzuia utiririkaji sahihi wa damu sehemu mbalimbali na mwili na hivyo kuchochea ganzi hiyo unayoipata.