Nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee

Nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee

Kaka mambo vip? Kuna vitu hujaeleza vizur

1. Una ugonjwa Sugu..Sukari nk?
2.Kuna dawa unatumia? Opiods, Pseudoephedrine?
3.Unavuta Sigara?
4.Hali ya Usafi kwako binafsi ipoje?
kuoga angalao mara mbili na kubadili nguo zote hasa unapotoka kwenye mihangaiko?
5.Nyumbani kuna maji tiririka?

Ukishajibu hayo turudi tuzungumze...ila umeoa mke mwenye maneno makali sana
 
Jitahidi sana unywe maji mengi not less than lita tatu kila siku pia fanya mzoezi utoe jasho kwa wingi. Jitahidi kuoga mara kwa mara kupunguza harufu ,tumia sabuni zisizo na manukato makali, ukioga paka deodorant pamoja na manukato mengine jitahidi usitumie perfume ya yenye alcohol.

Otherwise mkeo nae mchunguze sana anawezaje kukukashifu badala ya kukusaidia maana wao wanajua urembo na vitu vya kuondoa harufu ukichukulia weqe ni mumewe aibu yako ni aibu yake.

Anyway all the best bwana beberu 😀😀
 
Habari zenu wana JF

Nimekula nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee, nimejaribu kuitumia sabuni tofauti na perfume lakini wapi.

Kazi nikiingia kuoga nikitoka harufu mbaya sana humo ndani, nitumie dawa gani au kama kuna anayejua kutatua hii changamoto naomba msaada wenu jamani.

Asanteni
Usiwaze kuoga tu. Pia kuswaki vizuri kinywani. Jali usafi wa mwili wote mzima
 
Kaka mambo vip? Kuna vitu hujaeleza vizur

1. Una ugonjwa Sugu..Sukari nk?
2.Kuna dawa unatumia? Opiods, Pseudoephedrine?
3.Unavuta Sigara?
4.Hali ya Usafi kwako binafsi ipoje?
kuoga angalao mara mbili na kubadili nguo zote hasa unapotoka kwenye mihangaiko?
5.Nyumbani kuna maji tiririka?

Ukishajibu hayo turudi tuzungumze...ila umeoa mke mwenye maneno makali sana
Mwisho
Jali sana kuhusu huyu

Mwenye uzi Pita hapa, soma comments za huyu na uzitendee kazi. Ameongea Big big points. Jiassess kupitia hapa.
 
Hiyo shida imeanza lini? Je, umewahi kujua chanzo cha tatizo? Perfume zipi umewahi kutumia na sabuni zipi?

1. Jaribu kutumia deodorant ambazo zina zinakata jasho na kukuweka ktk harufu nzuri, mfano NIVEA Silver deodorant au FA Sport deodorant. Kila ukioga, jaribu kujipaka eneo la kwapa, mgongoni chini ya shingo, pia paka eneo linalozunguka shingo na shingoni pia.

2. Tumia perfume ambazo ni zile za gharama, mfano Invictus, 212 Men ambazo bei zake ni 200,000 kwa kila moja. Ukishindwa basi tumia zile za mafuta za kupima lakini ukifka dukani mwambie muuzaji akuwekee kimiminika kinachofanya perfume ikae zaidi ktk nguo/ngozi. Perfume waweza jipulizia kwenye ngozi kama ambavyo nlivyokwambia ktk deodorant.

Jizoeze kutumia hivi vitu mara kwa mara, mwili utazoea kupokea harufu mpya na ya kale itaondoka. Upande wa sabuni jaribu kutumia za maji.
Asanteni sana, yaani hii harufu siyo kikwapa wala jasho, ni harufu flan nzito
Oga na jelly, tumia deodorant then perfume, usirudie kuvaa nguo, mpa afue, harufu ya Beberu kwisha
A
Tafuta tiba za asili unaoga mambo yanaisha
Asanteni, ni dawa zipi unaijua? Kweli Nina zaidi ya 45 ila harufu siyo jasho wala kwapa ila nzito hatari kwanza alisema garden love zangu ndiyo zinanuka, anyways natafuta tiba kwa wanaojua
 
Mwisho
Jali sana kuhusu huyu

Mwenye uzi Pita hapa, soma comments za huyu na uzitendee kazi. Ameongea Big big points. Jiassess kupitia hapa.
Sina sukari, wala dawa ninayotumia pombe na kunywa kiasi sigara hapan maji siyo tililika yaani yana pressure hatari sina dawa nayotumia
 
Jitahidi sana unywe maji mengi not less than lita tatu kila siku pia fanya mzoezi utoe jasho kwa wingi. Jitahidi kuoga mara kwa mara kupunguza harufu ,tumia sabuni zisizo na manukato makali, ukioga paka deodorant pamoja na manukato mengine jitahidi usitumie perfume ya yenye alcohol.

Otherwise mkeo nae mchunguze sana anawezaje kukukashifu badala ya kukusaidia maana wao wanajua urembo na vitu vya kuondoa harufu ukichukulia weqe ni mumewe aibu yako ni aibu yake.

Anyway all the best bwana beberu 😀😀
Umeanza vizuriii umebolonga hapo mwisho😁.

Ulimi wa wife ni mkali, kwanza hakutakiwa kumwambia changamoto yake, yeye angefanya kumsaidia kwa vitendo tu, mume angejishtukia tu kuwa kuna jambo halipo sawa.
 
Huyo mwanamke hana busara kabisa. Unajua sisi wanaume wakati mwingine huwa tunapuuzia mambo hawa wanawake zetu hutusaidia sana hata akiona umevaa nguo fulani mara nyingi utaona anakukataza au viatu umevivaa sana atakuambia hapana vaa vingine sielewi huyu ni mwanamke gani asiyemsaidia mwenzake ambaye ndio bread winner. Haimcost choxhote pale anapoenda kujinunulia manukato akamchukulia na mumewe huyu hana busara kabisa hafai.
 
If you find money Ogaa you smell Pev Pev but if you don't have money Ogaa! You smell Bush Bush 🤣🤣🤣🤣🤣
 
HUTAKUJA KUJUTA NI "KUMUACHA MKEO TENA KWA KUMFUKUZA KAMA MBWA KOKO
kiongozi km mbona unataka kumwuua uyu jamaa? mambo sio rahisi ivo. ukiona ivo apo lazima uyo mama ndo mtafutaji hlf uyu "mzee" ni kamarioo flani kanaingia tu hom na kutoka hakana mchango wwote ata bei ya luku haijui.

tutafute ela chapaa maokoto au mbongo
 
Ogea Maji Yaliyotiwa Iliki Na Mazaga Mengine Toka Pwani
 
Dingi oga vizuri boksa badili kila unapooga. Swaki vizuri. Mdomoni hakikisha unatoa vile vidude vinaitwa TONSIL STONES. Ni rahisi tuuu hivyoooo
 
Back
Top Bottom