missongika
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 341
- 409
Wazee hasa wanaume huwa na shida yakulegea mitambo kiasi cha kuvujisha mkojo kila wakati.nyie ...hehehehee....binadam woote tuna harufu ya kimtumtu sema tunazidiana.
Cha msingi mzingatie usafi wa mwili kuanzia head to toe, zingatia chakula, mazoezi maji na matunda....
huyohuyo mbuzi jike wako akusaidie mwili usinuke sio akusimange tuu. Ona wataalam wa afya pia huenda Kuna Cha zaidi.
nasubiri tutoto tylitokoment tuzeeke tuje tulete ushuhuda humu....