BinSalum7
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,733
- 3,847
Ndio, kuna harufu fulani hivi.Uzee una harufu..!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, kuna harufu fulani hivi.Uzee una harufu..!?
Unakaribia kufariki.Habari zenu wana JF
Nimekula nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee, nimejaribu kuitumia sabuni tofauti na perfume lakini wapi.
Kazi nikiingia kuoga nikitoka harufu mbaya sana humo ndani, nitumie dawa gani au kama kuna anayejua kutatua hii changamoto naomba msaada wenu jamani.
Asanteni
Alikubalije kuolewa na weweHabari zenu wana JF
Nimekula nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee, nimejaribu kuitumia sabuni tofauti na perfume lakini wapi.
Kazi nikiingia kuoga nikitoka harufu mbaya sana humo ndani, nitumie dawa gani au kama kuna anayejua kutatua hii changamoto naomba msaada wenu jamani.
Asanteni
🤣🤣😂😂 👇👇👇👇👇👇Uzee una harufu..!?
Wazee huwa wanakuwa na harufuMkeo hatari. Ana uzoefu wa harufu za wazee.
DAWA PEKEE NZURI NA HUTAKUJA KUJUTA NI "KUMUACHA MKEO TENA KWA KUMFUKUZA KAMA MBWA KOKO"
Huna mke hapo una mwanamke mapumbavu unayemhudumia ili siku za usoni akufanye vibaya zaidi...
Fukuza hiyo takataka oa mwanamke mwingine
Umesoma vzuri alivyoandika au unatumia hisia zako binafsi...Sa kama mtu ananuka asiambiwe jamani. Ulitaka nani mwingine amwambie zaidi ya mke wake?
Hawa wanawake mnao waokota majalalani sikuhizi mkiwaingiza ndani ya nyumba wanawapanda kichwani... Unaweza kudhani tofauti ila ukweli ni kwamba sikuhizi vijana mna waabudu sana wanawake ndio maana wanawanyea kichwani hata kama mnawahudumia kwa kilakitu....kiongozi km mbona unataka kumwuua uyu jamaa? mambo sio rahisi ivo. ukiona ivo apo lazima uyo mama ndo mtafutaji hlf uyu "mzee" ni kamarioo flani kanaingia tu hom na kutoka hakana mchango wwote ata bei ya luku haijui.
tutafute ela chapaa maokoto au mbongo
Nimesoma vzr. Mke analalamika kwamba anatoa harufu ya kizee. Mwenzio anaomba ushauri wa kuondoa harufu wewe unasema amfukuze mke wake.Umesoma vzuri alivyoandika au unatumia hisia zako binafsi...
Wewe sema umefulia tu, na mkeo kakuchoka. Mambo ya harafu yanatoka wapi na uzee.Habari zenu wana JF
Nimekula nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee, nimejaribu kuitumia sabuni tofauti na perfume lakini wapi.
Kazi nikiingia kuoga nikitoka harufu mbaya sana humo ndani, nitumie dawa gani au kama kuna anayejua kutatua hii changamoto naomba msaada wenu jamani.
Asanteni
Una umri gani ili tujue kàma umezeeka nà unalazimisha ujàña au labda mkeo kaamua kukusagia kunguni tuu.Habari zenu wana JF
Nimekula nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee, nimejaribu kuitumia sabuni tofauti na perfume lakini wapi.
Kazi nikiingia kuoga nikitoka harufu mbaya sana humo ndani, nitumie dawa gani au kama kuna anayejua kutatua hii changamoto naomba msaada wenu jamani.
Asanteni
Una matatzo basi... Pamoja na kum-quote alichoandika ila umefeli kumuelewa na kuelewa alichoandika na alichoambiwa...Nimesoma vzr. Mke analalamika kwamba anatoa harufu ya kizee. Mwenzio anaomba ushauri wa kuondoa harufu wewe unasema amfukuze mke wake.
Kati ya mimi na wewe nani anatumia hisia?
Atamfukuza huyo mke ataoa mke mwingine na huyo pia atamwambia ananuka kama beberu..
Kufukuza mke haitabadilisha yeye kunuka.
Tumia limao mzee, siku 5 tu. Utakuja kunishukuru. Ukimaliza kuoga jipake makwapani na kwenye mavuzi na mapumbu. Ulale hivyo hivyo, siku 5 tu inakata kila kitu.Habari zenu wana JF