Nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee

Kama ni harufu ya uzee, basi angalia afya yako kuhusu magonjwa ya njia ya mkojo,ikiwemo na tezi dume.
 
Unakaribia kufariki.

Hiyo harufu inatokana na dead cells.
 
Alikubalije kuolewa na wewe
 
Uzee una harufu..!?
🤣🤣😂😂 👇👇👇👇👇👇
Research suggests that older adults do have a distinct smell due to the age-related breakdown of specific chemicals in our bodies. But it’s not necessarily an unpleasant smell.
Your body odor can change throughout your life. Think of a newborn baby — they have that distinct, fresh scent. Now, think of a teenage boy. They, too, have a distinct scent that’s very different from a baby’s.

Older adults are no different. Many describe their scent as being mildly sweet and musty. And despite what popular culture might try to say, a 2012 studyTrusted Source suggests most people usually don’t mind this smell at all.
The study’s authors believe people tend to find the scent more unpleasant when they know it’s coming from an older person. This suggests there’s likely some age discrimination at play in how people perceive body odor.
 
Sa kama mtu ananuka asiambiwe jamani. Ulitaka nani mwingine amwambie zaidi ya mke wake?
DAWA PEKEE NZURI NA HUTAKUJA KUJUTA NI "KUMUACHA MKEO TENA KWA KUMFUKUZA KAMA MBWA KOKO"
Huna mke hapo una mwanamke mapumbavu unayemhudumia ili siku za usoni akufanye vibaya zaidi...
Fukuza hiyo takataka oa mwanamke mwingine
 
Mwanamke huyo hakuhitaji Tena ,hyo ni psychological torture,Wala huna harufu yoyote mkuu ni wazi kuwa huyo mke wako ashapata mchepuko.ukitaka kuthibitisha Hilo tafuta marashi uwe unajipukizia.lazima atakuja na hoja nyingine ya kukuponda na kimsingi huenda anatoa maneno mengi ya kejeli kwako kwa kuwa amekwisha kukuchoka.
 
Hawa wanawake mnao waokota majalalani sikuhizi mkiwaingiza ndani ya nyumba wanawapanda kichwani... Unaweza kudhani tofauti ila ukweli ni kwamba sikuhizi vijana mna waabudu sana wanawake ndio maana wanawanyea kichwani hata kama mnawahudumia kwa kilakitu....
 
Umesoma vzuri alivyoandika au unatumia hisia zako binafsi...
Nimesoma vzr. Mke analalamika kwamba anatoa harufu ya kizee. Mwenzio anaomba ushauri wa kuondoa harufu wewe unasema amfukuze mke wake.

Kati ya mimi na wewe nani anatumia hisia?
Atamfukuza huyo mke ataoa mke mwingine na huyo pia atamwambia ananuka kama beberu..

Kufukuza mke haitabadilisha yeye kunuka.
 
Wewe sema umefulia tu, na mkeo kakuchoka. Mambo ya harafu yanatoka wapi na uzee.

Tafuta pesa tu. Kama huwezi kupata fedha muachie aondoke akapate wanaume wasio na harufu
 
Una umri gani ili tujue kàma umezeeka nà unalazimisha ujàña au labda mkeo kaamua kukusagia kunguni tuu.
 
Una matatzo basi... Pamoja na kum-quote alichoandika ila umefeli kumuelewa na kuelewa alichoandika na alichoambiwa...
Anyways tuachane na hayo... Enjoy your weekend drink responsibly 👊
 
Tumia limao mzee, siku 5 tu. Utakuja kunishukuru. Ukimaliza kuoga jipake makwapani na kwenye mavuzi na mapumbu. Ulale hivyo hivyo, siku 5 tu inakata kila kitu.
 
nyie ...hehehehee....binadam woote tuna harufu ya kimtumtu sema tunazidiana.
Cha msingi mzingatie usafi wa mwili kuanzia head to toe, zingatia chakula, mazoezi maji na matunda....
huyohuyo mbuzi jike wako akusaidie mwili usinuke sio akusimange tuu. Ona wataalam wa afya pia huenda Kuna Cha zaidi.

nasubiri tutoto tylitokoment tuzeeke tuje tulete ushuhuda humu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…