missongika
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 341
- 409
Wazee hasa wanaume huwa na shida yakulegea mitambo kiasi cha kuvujisha mkojo kila wakati.nyie ...hehehehee....binadam woote tuna harufu ya kimtumtu sema tunazidiana.
Cha msingi mzingatie usafi wa mwili kuanzia head to toe, zingatia chakula, mazoezi maji na matunda....
huyohuyo mbuzi jike wako akusaidie mwili usinuke sio akusimange tuu. Ona wataalam wa afya pia huenda Kuna Cha zaidi.
nasubiri tutoto tylitokoment tuzeeke tuje tulete ushuhuda humu....
...Muambie achape Lapa' akatafute Vijana Wasio na Harufu ,! Ni Udhalilishaji. Hiyo Harufu ipo tokea mnaoana, ama ameana Kuisikia Toka Imeanza Kuseeka ??Habari zenu wana JF
Nimekula nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee, nimejaribu kuitumia sabuni tofauti na perfume lakini wapi.
Kazi nikiingia kuoga nikitoka harufu mbaya sana humo ndani, nitumie dawa gani au kama kuna anayejua kutatua hii changamoto naomba msaada wenu jamani.
Asanteni
Oga na jelly, tumia deodorant then perfume, usirudie kuvaa nguo, mpa afue, harufu ya Beberu kwisha
Nguvu za giza hizo zinainyemelea ndoa yenu.Habari zenu wana JF
Nimekula nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee, nimejaribu kuitumia sabuni tofauti na perfume lakini wapi.
Kazi nikiingia kuoga nikitoka harufu mbaya sana humo ndani, nitumie dawa gani au kama kuna anayejua kutatua hii changamoto naomba msaada wenu jamani.
Asanteni
Unatafutiwa sababuHabari zenu wana JF
Nimekula nasumbuliwa na harufu ambao mke wangu amekuwa akisema ni harufu ya kizee, nimejaribu kuitumia sabuni tofauti na perfume lakini wapi.
Kazi nikiingia kuoga nikitoka harufu mbaya sana humo ndani, nitumie dawa gani au kama kuna anayejua kutatua hii changamoto naomba msaada wenu jamani.
Asanteni
Sio kuchokwa mkuu ni mambo ya kishirkina tu.Mkuu hauna harufu yoyote ni vile tu umeshachokwa. Soon utaambiwa unanuka beberu ova.
Eti harufu ya Beberu sio ya kizee tena? hahahah
Dingi oga vizuri boksa badili kila unapooga. Swaki vizuri. Mdomoni hakikisha unatoa vile vidude vinaitwa TONSIL STONES. Ni rahisi tuuu hivyoooo
Usisubiri hadi uvikohoe vitakuaibisha sana wakati wa romance. Jitahidi every dei unajifanyia simple surgery unavitoa kwa urahisi kwa kidole au cotton budsNilikuwa sijui kama vinaitwa hivyo imebidi ni goggle ni vitu gani… [emoji2] nilikuwaga navionaga zamani unakuta unakohoa kinaruka navinusa vinanuka vibaya
Sorry huo ni ugonjwa ama
Kuna watu hii harufu wanakuwa nayo, nina rafiki yangu 37 yrs ana harufu hii namzidi umri mbali tu mm sinaHabari zenu wana JF