Nasumbuliwa na magonjwa ya uzazi, kukosa ute, na hamu sijawahi pata wala sijui ladha yake

Tafuta Yale majani wanayochuma wahaya, waha, wahutu na Watutsi ili kuipata kachibari, katerero, kangisi.

Tumia hayo utakuja kunishukuru.
 
Ky ipo achana na ute usio nao!!
ushawai chakatwa sawa sawa
 
Ajipelekee moto mwenyewe!
 
Chukua bamia tano kata kata osha loweka kwenye maji zilale asubuh kunywa mchuzi wake week tu hamu kama zote
 
Hormone imbalance
 

Akinunua iyo kitu itawashawishi kutumia Yas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…