Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Umeolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ky ipo achana na ute usio nao!!Habari jamani naomba msaada.
Mimi ni msichana nasumbuliwa na matatizo ya uzazi nimetumia Dawa nyingi za hospital lakini bila mafanikio na zamitishamba pia hakuna matokeo ila yanakujaga kidogo lakini tatizo linarudi pale pale.
Kiufupi sijawahi pata hamu ya tendo sijui inaradha gani, pia sijawahi pata ute nateseka sana hata nishikwe wapi, naombeni msaada anayejua Dawa ya uhakika nikapona jamani.
Hayo majani yanaitwaje????Tafuta Yale majani wanayochuma wahaya, waha, wahutu na Watutsi ili kuipata kachibari, katerero, kangisi.
Tumia hayo utakuja kunishukuru.
Hata sihitaji hela mkuuWazee wa fursa. Shauri hapa hapa
Mh kama ana nyege sasa afanyejeFanya mambo mengine kwani lazima ugongwe
duuuDah hawa ndo wale kama umekula bapa hadi umalize room unakuta inaharufu ya mishkaki
Ajipelekee moto mwenyewe!Nunua kY au kilainishi cha aina nyingine pharmacy,usitumie mafuta ya nazi au vasseline. Jambo lingine la msingi ni kuondoa mental block/kizuizi akilini,ukijiona wewe ni mgonjwa basi huwezi kupata matokeo chanya .
Kuna wanawake wa hiyo shida ya kukosa ute na wanafanya ngono kwa kutumia vilainishi bila shida. Kama una mpenzi/mume basi zungumza nae ili muweze kuikabili hiyo changamoto pamoja . Usikubali kufanya mapenzi wakati unaumia kwani itakufanya uichukie ngono kabisa.
Mwisho fanya majaribio ya kujiridhisha mwenyewe (masterbation) ili uweze kuujua mwili wako kingono. Hii ni muhimu sana japo watu wata kukaanga hapa,kama una hela jinunulie hata vibrator,Lube/Ky anza kujitafuta.
AChana na manabii feki utapoteza hela zako kwenye sadaka bila mafanikio,be positive nyege zako zipo under your fingertips 😊. Pole sana .
Kasema hajawahi pata nyege na hàta akiamua kutombwerr hasikii ladha yoyote. Nashauri aachane na uzinzi àfanye kazi za kumpa hela tuu.Mh kama ana nyege sasa afanyeje
Hakuna shida chief.Ajipelekee moto mwenyewe!
Chukua bamia tano kata kata osha loweka kwenye maji zilale asubuh kunywa mchuzi wake week tu hamu kama zoteHabari jamani naomba msaada.
Mimi ni msichana nasumbuliwa na matatizo ya uzazi nimetumia Dawa nyingi za hospital lakini bila mafanikio na zamitishamba pia hakuna matokeo ila yanakujaga kidogo lakini tatizo linarudi pale pale.
Kiufupi sijawahi pata hamu ya tendo sijui inaradha gani, pia sijawahi pata ute nateseka sana hata nishikwe wapi, naombeni msaada anayejua Dawa ya uhakika nikapona jamani.
Hormone imbalanceHabari jamani naomba msaada.
Mimi ni msichana nasumbuliwa na matatizo ya uzazi nimetumia Dawa nyingi za hospital lakini bila mafanikio na zamitishamba pia hakuna matokeo ila yanakujaga kidogo lakini tatizo linarudi pale pale.
Kiufupi sijawahi pata hamu ya tendo sijui inaradha gani, pia sijawahi pata ute nateseka sana hata nishikwe wapi, naombeni msaada anayejua Dawa ya uhakika nikapona jamani.
Habari jamani naomba msaada.

Akinunua iyo kitu itawashawishi kutumia YasNunua kY au kilainishi cha aina nyingine pharmacy,usitumie mafuta ya nazi au vasseline. Jambo lingine la msingi ni kuondoa mental block/kizuizi akilini,ukijiona wewe ni mgonjwa basi huwezi kupata matokeo chanya .