Nasumbuliwa na maumivu ya mguu hasa maeneo ya paja, dawa gani ya kumeza inaweza kunisaidia

Nasumbuliwa na maumivu ya mguu hasa maeneo ya paja, dawa gani ya kumeza inaweza kunisaidia

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,859
Reaction score
4,539
Habari,

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mguu maeneo ya paja kuelekea kiunoni. Kwa kweli sijawahi kuanguka au kupata jeraha lolote hivi karibu ila naona tu mguu unakuwa na maumivu.

Dawa gani nzuri iliwahi kukusaidia kwa maumivu ya mwili au viungo kama hivi..?

Share nami hapa 🙏🙏
 
Unafanya mazoezi sana?, maybe inahitaji dawa ya kujichua na sio kumeza
Kwa uhakika zaidi nenda hospitali
 
Unafanya mazoezi sana?, maybe inahitaji dawa ya kujichua na sio kumeza
Kwa uhakika zaidi nenda hospitali
Mazoezi sana hapana, Huwa napiga pushUp na kukimbia kuzunga uwanja.. yaan mazoezi ya kawaida tu
 
Back
Top Bottom