Habari,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mguu maeneo ya paja kuelekea kiunoni. Kwa kweli sijawahi kuanguka au kupata jeraha lolote hivi karibu ila naona tu mguu unakuwa na maumivu.
Dawa gani nzuri iliwahi kukusaidia kwa maumivu ya mwili au viungo kama hivi..?
Share nami hapa 🙏🙏