Nasumbuliwa na tabia ya kukasirika haraka, nifanye nini?

Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....[emoji1751][emoji1751]
Kwa haraka haraka we ni ni wale mliopata makuzi ya akina "Junior" wa kike sasa umekua unapambana mwenyewe unaona rangi ya dunia imebadilika na pengine ulikutana na nigga akakuvuruga zaidi..pole sana ila punguza kudeka ushakua saivi.
 

Usijali, hiyo ni hali ya kawaida tuu. Utazoea. Unaonekana wewe bado mgeni kwenye maswala ya relationships na bado ulikua na ule utoto wa kuamini kwenye true love. Sasa umepigwa ka tukio unaona kama dunia yote imekuelemea. Hayo ni mambo ya kawaida, usichukulie personal wala huna haja ya kukasirikia wanaume. Wanaume ndio tulivyo kwa vibinti virembo kama wewe hua tunamega na kusepa no hard feelings. Pull urself together, collect the pieces and move on maana ukijidai we ndio unajua saana kukasirika haitakusaidia na sanasana utaharibu na mambo mengine sasa ofisini nk.
 
Una muda gani hujasex?

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 


Are you preg, at this moment in time??--- if yes that might be the reason.
 
Mie ushauri wangu ni huu kwako, Kama wewe mkristo fanya kufunga siku moja au mbili kavu na nenda sehemu uwe peke yako zima Hadi simu zako, kisha mwambie Mungu nisamehe kwa makosa yangu naomba niwasamehe wote walionitendea tofauti hakikisha unamaanisha kutoka ndani usijizuie Kama unaweza kulia Lia haswa omba sana, ukipata mda wa kupmzika chukua Biblia soma kitabu Cha Matendo ya mitume kwanzia sura ya 10 na kuendelea uone jinsi watu walitendewa mabaya lakini hawakujibu kwa ubaya.

Kila siku uamkapo na unalalapo chukua hatua ya kuomba Toba japo kwa dakika kumi na soma japo sura moja tu kwenye Biblia kitabu chochote, fanya hivyo bila kukoma hapa utajikuta imekuwa mtu wa tofauti sana maishani mwako unaweza kuja kuwa mke Bora kupita kiasi.

Naandika haya naelewa mtoto wa kike huwa anakula ni mtu wa namna gani haswa akitendwa sana na watu wanaowapenda kupita kiasi, please chukua ushauri huo utakuja nimshukuru baadae tofauti na hapo utaishia kufukuzwa kazi na kuishia kulewa na kuishia pabaya mno.

Mungu akusadie
 
There’s a man outer there who smashed you before...

He left an uncured scar...

It’s the one that’s haunting you against other men.

Kwa kimatumbi, mwambie tu hajapata mwingine wa kumzibua vizuri...

Hata upele ukikosa kucha za kuukuna, muwasho wake huwa wamkera muota upele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…