Nasumbuliwa na tabia ya kukasirika haraka, nifanye nini?

Fika mirembe kwa ushauri zaidi,utakuwa unasumbuliwa na matatizo ya akili mkuu!,fanya haraka kabla tatizo halijawa kubwa
 
Jifunze kujisamehe ndani ya moyo wako ,ili uone mapito uliopita yalikuwa yakukujenga kinafsi syo kukuacha na majeraha,jitengenezee furaha ndani yako kwa kusahau uliopita iwe rahisi kujisamehe na kusahau nauanze upya ujione kwamba ,ya zaman s kitu kwako ili hali usonge mbele . Na jifunze kuona hali unazozipitia zsiondoe furaha ndani yako.
 
Thanks ntalifanyia Kaz[emoji24]
 
Nmeshangaa na Mimi
 
Thank you so much kwa ushaur wako wako ,nawashukuru wote mlionishauri[emoji120]
 
Sawa dokta love
 
Nenda katafute msaada kwa professionals rafiki yangu hapa watakuvuruga akili tu.Utakuwa sawa ukiongea na mtu,umueleze shida yako na ukipata msaada sahihi wa anger management problem โ™ฅ๏ธ
Mkuu ni sawa kwa kumshauri lakini pia hapa panaweza kuwa na wataalamu wazuri kupita hata hao wengine, maana Jf imekusanya kila idara humu kikubwa achague kilicho sahihi na takataka atupe
 
Ni kujiendekeza tu, we mwenyewe ushajua unachofanya sio Sawa ila hutaki kubadilika.

Tabia yako pia imechangiwa na malezi au makuzi. Unaonekana Walikutendekeza sana wazazi wako.
hili nalo neno
 
Sweetheart, time is a good healer

Give yourself a time.


Rise​

Gabrielle

I know that it's over
But I can't believe we're through
They say that time's a healer
And I'm better without you
It's gonna take time I know
But I'll get over you
Look at my life
Look at my heart
I have seen them fall apart
Now I'm ready to rise again
Just look at my hopes
Look at my dreams
I'm building bridges from these scenes
Now I'm ready to rise again

Caught up in my thinking
(Yeah)
Like a prisoner in my mind
You pose so many questions
That the truth was hard to find
I better think twice I know
That I'll get over you
Look at my life
Look at my heart
I have seen them fall apart
Now I'm ready to rise again
Just look at my hopes
Look at my dreams
I'm building bridges from these scenes
Now I'm ready to rise again
Much time has passed between us
Do you still think of meโ€ฆ

 
You need love,from psychological view, unamiss upendo kutoka kwa mtu wako wa muhimu sana either mpenzi au family, halafu you are stressed with a certain situation

Talk to someone you trust about your situation and whatever you are facing, halafu stop spending time alone, jichanganye hata kama ni ofisini try to put up a good mood, zungumza na watu,usitumie muda mwingi kuwaza hali unayopitia bali tumia muda mwingi kufanya mambo mengine na ku socialize na watu
Tafuta namna bora ya kusort out hali unayopitia kwenye mahusiano yako ikiwezekana give each other a space to rethink of the relationship na kuna kama kuna haja ya kuendelea au la
 

Karambezi all the time honey!!

Pale unapiga na kupigwa kiwi all at once...๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰
 
Ni sahihi unavyojiskia, si sahihi kuendelea kujiskia unavyojiskia.

Mapenzi yakivunjika inaumiza yes, uliwekeza muda, hisia,nyakati, akili.
So uko sahihi kujikisa vyovyote unavyojiskia.

Ila usiache hiyo hali iendelee kwa muda mrefu.
Na njia ya kuitoa sio kuingia kwenye mahusiano.
Maana,
Hulazimiki kuwachukia wanaume ili kuwa sawa.
Wala hulazimiki kuwa kwenye mahusiano mapya ili kuwa sawa.
Kwanza kuanzisha mahusiano mapya ukiwa na majeraha ili tu upone ni kujidanganya.

So quit kuwachukia wanaume.
Ishi nao, wafanye rafiki zako.
Una familiar, fetch and give love to and from them.
Una marafiki wanakupenda embrace their love.
Kwa kufupi ni, Endelea na maisha yako.
Zaidi ya huyo partner walo ulikuwa na maisha mengine kabla na nje ya yeye.
Yaishi hayo.
Wanaume wazuri wapo na wapo tena.
Mtu mmoja kwenye maisha yako asikufanye uone maisha yote hayawezekani.

Hasira za nn?
Unakimbiza bure fursa ya kuwa na furaha.
Jikung'ute songa mbele mama.
Mapenzi yanazaliwa na kufa kila siku.
Mapenzi yanafurahiwa na kuumiza kila siku.

Na maisha yanaendelea tu.
Sasa endelea na hiyo hasira na chuki uone kama dunia hii itakutizama katika ubora wako.
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜Karma is a bitch. Hapa naivutia picha sura ya jamaa aliyepoteza muda wake mwingi kwa ajili yako ila hukumthamini na sasa kaondoka na hatorudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ