Nasumbuliwa na tabia ya kukasirika haraka, nifanye nini?

Una uchungu, kutokana na kuumizwa. Maumivu aliyokubebesha mwanaume mmoja, unatamani uyahamishie kwa wanaume wote. Hujasamehe, bali umeamua kumbeba huyo mwanaume moyoni. Na uchungu mara nyingi unakuumiza wewe mwenyewe uliyeubeba zaidi, kuliko hata aliyekusababishia.

Imagine unamkaripia hadi boss wako mwisho wa siku unataka hata kuharibu kazi yako + ni mahusiano mangapi na ndugu, jamaa au rafiki wa kiume utakuwa umeshayaharibu kwa sababu ya hasira zako? Msamehe huyo ex wako hata kama hajakuomba msamaha, as a matter of fact anaweza asije hata kukuomba huo msamaha. Unaposamehe hufanyi kwa ajili yake; unafanya kwa ajili yako, kwa amani yako ya moyo na ili hata na wewe unapokosea, Mungu apate kukusamehe pia. Msamehe tu huyo kijana
 
I mean Psycotherapist! [emoji3064][emoji3064]
 
Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....[emoji1751][emoji1751]
Anza kuishi maisha ya sala na maombi, mweleze mungu shida yako naye atakusaidia pia amua kubadili mfumo wa maisha unayoishi na mtafute Mungu kwa bidii utaona mabadiliko
 
Dahh wakuu hizi comments za humu Leo ni balaa yani,Niko huku ushirombo navuna mpunga,kna moja ya Evelyn salt ni balaa nimejilaza hapa kwenye jaruba yani mnara unasoma 5G.

Niombeeni tu tu ile roho ya CHAPUTA,inipitie mbali.
.
 
Hayo ni mabadiliko ya kawaida kwa binadamu hasa kipindi cha kuanzia June -Augost.
Hopefully by September hali hiyo itatoweka.
 
Yaani chief kwa Dar unajipigia promo sio?
Mwambie na mimi nipo Mkoa wowote alipo nitakwenda! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Kama yuko nje ya Tanzania ndio akutafute.
 
Hata mimi sijui nifanyaje??
 
Karambezi all the time honey!!

Pale unapiga na kupigwa kiwi all at once...πŸ˜‰πŸ˜‰

On ma we der.....

Sipping Amarula darling πŸ˜‹

Thank you and πŸ₯‚πŸ˜˜.

Bet it iwe kiwi cha macho looh...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….
 
UNA MAREJESHO YA PESA NGAPI NA WATOTO WANGAPI...
 
Mkuu, umemshauri vizuri lakini ndo hana uwezo wa kujichanganya hasa na watu wa jinsia tofati, au hata hao watu atakao taka kujichanganya nao wao wanajichanganya na wanaume, so bado atakua bado hayuko comfortable.

Kwa upande mwingine suala la muhimu ni kumtafuta mtu amuaminie aongee nae yote ili ayatoe moyoni.

Mengine, omba sana kwa Mungu, fanya mazoezi, jihusishe na michezo na ikiwezekana jaribu soma vitabu.

Itakusaidia.
 
Acha kutumia bange,..au pombe Kali...utakuja kunishukuru..na Kama hutumii hivyo Basi inawezakana Kuna Jambo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…