Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

Ko



Naungana nawe. Nahisi wana ajenda ya siri ya kumuangusha boss wao. Kijana yule,acha kabisaa. SSH alipata jembe kwelikweli kwa wakati sahihi. Lakini sasa,mmh,yetu macho.
Ni kweli Mama yetu Dkt Samia alisemewa vilivyo tena kwenye halaiki kubwa kwa bashasha zote na Mama alianza kukubalika, ila hawa cde Dkt Nchimbi na cde CPA Makalla wao eti ujenzi wa madarasa, vituo vya afya, barabara, maji, etc yaani hivyo vinazungumzwa na wakuu wa mikoa, wilaya, wabunge. Sisi kama wana CCM tunatakiwa kuwa na Katibu mkuu na mwenezi wanaoeneza upendo wa Dkt Samia kwa wapiga kura.
 
Chawa wa Makonda taabu kwelikweli.
 
Ccm haina mvuto kwa kizazi hiki, nguvu za Dola ndio backup Yao. Magufuli alikuwa na nyomi ya vyombo vya Dola, ilipofika wakati wa uchaguzi ikabidi apore uchaguzi! Ccm haitegemei kura yoyote, Bali vyombo vya Dola ndio kura zao zilipo.
 
"Huyu ni kijana wetu,lakini amesema jambo la kijinga" kauli ya Katibu Mkuu.
Katibu Mkuu anasema ukweli,ukweli usemwe."Mtu akisema jambo la kijinga lazima tuseme hapa kasema jambo la kijinga"
Kuna wengine wanafikiri kutishia kuwapoteza watu wana wanaokosoa kuwa ni halali,na kujihisi wapo juu ya sheria.

Sasa wapambe wanatumika kumchafua Katibu Mkuu.
 
Kuna wale vijana wa zamani kwenye mikutano bado wanatumia vile vichekesho vya zamani vya la kuchumpa ,lakuparama, wagagagigigogo
 
Wasukuma mnajitoa fahamu sana.Kumbukeni kamwa mshamba hawezi kurudi Ikulu Tena.Huyo muuaji wenu akili yake iko makalioni.
 
Hapana sasa ndiyo kinaelekea kubaya. Wananchi huko mitaani hawalewi CCM inafanya nini. Leo hii ukimuuliza mwananchi wa kawaida ajenda ya CCM ni nini? Ila akina CDE Makala wao eti mashule, hospital etc, je mkuu wa mkoa, wilaya na Mbunge aseme nini?
Makonda yeye alikuwa anasema nini?
 
Ngoja abakibaki ili CCM wajifunze kwamba siasa ni KIPAJI na siyo kupeana connection
 
Huyo KM ameteuliwa kimkakati kwa ajili ya mchakato wa kupitisha wagombea ndani ya chama 2025, hatoki hapo.

Mambo ya nyomi hayo ni ya Makalla, KM ni mtendaji wa chama, uenezi sio kazi yake.
Kwahiyo KM yeye anafanya tu mikutano ya ndani?? Hizo anazoziita kero anazisikilizia wapi? Huna akili
 
Upepo unasoma kwa Henry James kuwa mwenezi miezi michache ijayo au Makonda kurudi kwenye hiyo nafasi. hawa wazee wangepumzika tu..
Yaani mpaka wanatia huruma. Upepo wa Makonda umewapoteza vibaya vibayo mno
 
ni dalili nzuri kufa kwa ccm
 
Makonda alikuwa anakusanya wajinga ambao ndio wengi nchi hii
 
Nchimvi hapendi u Hawa,

Sijui boss anajisikiaje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…