Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nyamitako
 
Kwahiyo KM yeye anafanya tu mikutano ya ndani?? Hizo anazoziita kero anazisikilizia wapi? Huna akili
Hakuna kisichojulikana nchi hii.changamoto zote ziko wazi.wala haziitaji mbwembwe kuzisikiliza.tatizo ni uwezo wakuzitatua hamna
 
Natabiri Dk Nchimbi ndiye Rais wa Tanzania mwaka 2030
 
Hapana sasa ndiyo kinaelekea kubaya. Wananchi huko mitaani hawalewi CCM inafanya nini. Leo hii ukimuuliza mwananchi wa kawaida ajenda ya CCM ni nini? Ila akina CDE Makala wao eti mashule, hospital etc, je mkuu wa mkoa, wilaya na Mbunge aseme nini?
Acheni MAJUNGU na FITINA. Kila anayeteuliwa ni kumpiga Majungu na fitina tu
 
Hii nafasi inahitani kijana kama ilivyokuwa Kwa makonda.kwa Sasa imepoa kama uji uliolala.akiwa anasikiliza changamoto za wananchi hamna utatuzi wote zaidi ya kusema mkuu wawilaya atakuwa kuwaona.
 
Sijasoma uzi wako lakini kwa kifupi hakuna lisilo na mwisho.
 
Mudawote aka Sukumagang teh teh teh utakufa nacho kijiba cha roho!
 
Nchimbi hadi 2030 na baada ya hapo atagombea urais
 
We mtu mmoja usisemee wengi
 
Hapana sasa ndiyo kinaelekea kubaya. Wananchi huko mitaani hawalewi CCM inafanya nini. Leo hii ukimuuliza mwananchi wa kawaida ajenda ya CCM ni nini? Ila akina CDE Makala wao eti mashule, hospital etc, je mkuu wa mkoa, wilaya na Mbunge aseme nini?
Hao wananchi nao watakuwa vilaza tu,
Yani walikuwa wanajuwa ajenda vizuri Bashite akiwa kiongozi wao halafu baada ya Mr. Gugu tu kuingia tayari wameisahau hata wiki haijaisha!
 
Hapana sasa ndiyo kinaelekea kubaya. Wananchi huko mitaani hawalewi CCM inafanya nini. Leo hii ukimuuliza mwananchi wa kawaida ajenda ya CCM ni nini? Ila akina CDE Makala wao eti mashule, hospital etc, je mkuu wa mkoa, wilaya na Mbunge aseme nini?
Kabisa na mimi naona uelekeo sasa siyo,.. Makala na Nchimbi hawana mvuto kwenye siasa kwa wananchi..
 
Hata asipokuepo.. kwani ana msaada gani kwa watanzania !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…