Kwa hiyo watu wa kigoma ndio hutumika kama chawa wa Taifa?Hizo mbinu tunazijua sana na wala hatupotezwi. Hata ACT ya Zito 2014 alijaziwa watu hivi hivi lakini siku hizi amekaa kwa kutulia, hadi alipopata ahueni ya wapemba huko Znz.
Nakumbuka na Mbatia naye uchaguzi wa 2020 alipewa pia hiyo support fake, lakini cdm hawakupoteza focus. Na hata sasa cdm na wafuasi wake hawajapoteza focus. Kwa sasa ccm na dola wanadeal na kizazi kilichoamka, mbinu zilizofanikiwa zamani, safari hii hii hazitafanya kazi.
Ndio manake.Kwa hiyo watu wa kigoma ndio hutumika kama chawa wa Taifa?
CHAUMMA kinaenda kuchukua nafasi rasmi ya upinzani TZ…. Kaeni nafsi kabisa Ndo utoto wenu!Hizo mbinu tunazijua sana na wala hatupotezwi. Hata ACT ya Zito 2014 alijaziwa watu hivi hivi lakini siku hizi amekaa kwa kutulia, hadi alipopata ahueni ya wapemba huko Znz.
Nakumbuka na Mbatia naye uchaguzi wa 2020 alipewa pia hiyo support fake, lakini cdm hawakupoteza focus. Na hata sasa cdm na wafuasi wake hawajapoteza focus. Kwa sasa ccm na dola wanadeal na kizazi kilichoamka, mbinu zilizofanikiwa zamani, safari hii hii hazitafanya kazi.
Hakuna mtu wa Kigoma aitwaye mbowe.Kwa hiyo watu wa kigoma ndio hutumika kama chawa wa Taifa?
We poyoyo huna lolote umeandika pumba tu. Chadomo kwishnet hivyooNisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa.
Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na watawala.
Utabiri wangu ni upi??.
Natabiri kwamba CHAUMMA watajaza watu kwenye mikutano yao kuipa uhalali machoni pa watu na dunia pia.
Watu watatoka wapi?.
Kama wote mnavyojua kuna chama kimoja kikubwa kina utaratibu wa kusomba watu kwenye malori kuwapeleka kwenye mikutano.
Basi uratibu utakuwepo wa wanachama wao kuhudhuria mikutano ya CHAUMMA na kushangilia kwelikweli..
Ni hayo tu kwa leo,ila kwa asiyeamini atakuja kujionea kwa macho yake mawili.
Chadomo imebakiza siku ya mazikoHizo mbinu tunazijua sana na wala hatupotezwi. Hata ACT ya Zito 2014 alijaziwa watu hivi hivi lakini siku hizi amekaa kwa kutulia, hadi alipopata ahueni ya wapemba huko Znz.
Nakumbuka na Mbatia naye uchaguzi wa 2020 alipewa pia hiyo support fake, lakini cdm hawakupoteza focus. Na hata sasa cdm na wafuasi wake hawajapoteza focus. Kwa sasa ccm na dola wanadeal na kizazi kilichoamka, mbinu zilizofanikiwa zamani, safari hii hii hazitafanya kazi.
hiyo mbona ni ramli na sio utabiri gentleman 🐒Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa.
Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na watawala.
Utabiri wangu ni upi??.
Natabiri kwamba CHAUMMA watajaza watu kwenye mikutano yao kuipa uhalali machoni pa watu na dunia pia.
Watu watatoka wapi?.
Kama wote mnavyojua kuna chama kimoja kikubwa kina utaratibu wa kusomba watu kwenye malori kuwapeleka kwenye mikutano.
Basi uratibu utakuwepo wa wanachama wao kuhudhuria mikutano ya CHAUMMA na kushangilia kwelikweli..
Ni hayo tu kwa leo,ila kwa asiyeamini atakuja kujionea kwa macho yake mawili.
Kikubwa viongozi wa Chadema wasiwe na panic maana kwa sasa ingekua kwenye ngumi tunaweza kusema wamepelekwa kwenye kamba anatafutiwa timing tu..Hizo mbinu tunazijua sana na wala hatupotezwi. Hata ACT ya Zito 2014 alijaziwa watu hivi hivi lakini siku hizi amekaa kwa kutulia, hadi alipopata ahueni ya wapemba huko Znz.
Nakumbuka na Mbatia naye uchaguzi wa 2020 alipewa pia hiyo support fake, lakini cdm hawakupoteza focus. Na hata sasa cdm na wafuasi wake hawajapoteza focus. Kwa sasa ccm na dola wanadeal na kizazi kilichoamka, mbinu zilizofanikiwa zamani, safari hii hii hazitafanya kazi.
Hata kama ukiwachukua wauza butcher uwavalishe lishe Makoti meupe na stethoscope shingoni maadamu wamo buchani ni mpumbavu peke yake ataamini hao ni madaktari.Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa.
Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na watawala.
Utabiri wangu ni upi??.
Natabiri kwamba CHAUMMA watajaza watu kwenye mikutano yao kuipa uhalali machoni pa watu na dunia pia.
Watu watatoka wapi?.
Kama wote mnavyojua kuna chama kimoja kikubwa kina utaratibu wa kusomba watu kwenye malori kuwapeleka kwenye mikutano.
Basi uratibu utakuwepo wa wanachama wao kuhudhuria mikutano ya CHAUMMA na kushangilia kwelikweli..
Ni hayo tu kwa leo,ila kwa asiyeamini atakuja kujionea kwa macho yake mawili.
HIvi mnachukulia wananchi wa sasa ni kama wa karne ya 19 eeh?CHAUMMA kinaenda kuchukua nafasi rasmi ya upinzani TZ…. Kaeni nafsi kabisa Ndo utoto wenu!
CDM wanasema bila marekebisho hakuna uchaguzi, hao CHAUMA watashiriki, na inaonekana hakuna dalili ya mazungumzo na uchaguzi utafanyika. Sasa CDM watakuwa wanapigania nini nje ya uwanja!?Na hata sasa cdm na wafuasi wake hawajapoteza focus.
Kwani Mzee wa ubwabwa kumbe anatoka Chigoma? Mimi nilidhani ni mtu wa Mbeya !!Kwa hiyo watu wa kigoma ndio hutumika kama chawa wa Taifa?