Natabiri hili kutokea kwenye mikutano ya CHAUMMA

M
CDM wanasema bila marekebisho hakuna uchaguzi, hao CHAUMA watashiriki, na inaonekana hakuna dalili ya mazungumzo na uchaguzi utafanyika. Sasa CDM watakuwa wanapigania nini nje ya uwanja!?
Mbinu za vita kila mtu ana zake, ngoja tukae kwa kutulia tuone mwisho wa siku nini kitazaliwa. Ninaamini CDM wana namna wamejipanga na hii game. Mdharau mwiba
 
Kikubwa viongozi wa Chadema wasiwe na panic maana kwa sasa ingekua kwenye ngumi tunaweza kusema wamepelekwa kwenye kamba anatafutiwa timing tu..

Wanachotakiwa kujua ni kwamba wana support na imani kubwa kwa wananchi walio wengi .

Mbowe hana ushawishi wa wananchi kwa sasa zaidi ya kundi kubwa la viongozi ambao ni rahisi kurubunika kwa ahadi ya kugombea na kupitishwa.

Kwa hiyo hata akiondoka hatakua na jipya.
Yaani cdm hawajapanick kabisa maana tayari wanajua sisi wafuasi wao tunajitambua. Watu walihama hata enzi za kuunga juhudi lakini wafuasi na cdm hawakuingiza upepo. Aliondoka Zito na akapewa support kubwa na ccm chama chake kikiwa kidogo akasimamisha wagombea nchi nzima, halafu yeye pekee ndio alikuwa mbunge! Cdm wana uzoefu wa kutosha wa mbinu hizi outdated.
 
CDM wanasema bila marekebisho hakuna uchaguzi, hao CHAUMA watashiriki, na inaonekana hakuna dalili ya mazungumzo na uchaguzi utafanyika. Sasa CDM watakuwa wanapigania nini nje ya uwanja!?
Acha chama chochote kinachotaka kushiriki kishiriki, lakini cdm haitakuwa na muda wa kushiriki chaguzi za kulihuni ili ionekane wameshiriki. Yaani cdm wamejitoa sadaka ili kupatikane mabadiliko, na lazima yatapatikana kupitia ujasiri huu wa cdm kutoshiriki huu uhuni.
 
Watu
Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa.

Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na watawala.

Utabiri wangu ni upi??.
Natabiri kwamba CHAUMMA watajaza watu kwenye mikutano yao kuipa uhalali machoni pa watu na dunia pia.

Watu watatoka wapi?.
Kama wote mnavyojua kuna chama kimoja kikubwa kina utaratibu wa kusomba watu kwenye malori kuwapeleka kwenye mikutano.

Basi uratibu utakuwepo wa wanachama wao kuhudhuria mikutano ya CHAUMMA na kushangilia kwelikweli..

Ni hayo tu kwa leo,ila kwa asiyeamini atakuja kujionea kwa macho yake wamawili.
Watu watapigwa mawe na zomeazomea mpaka wakome
 
Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa.

Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na watawala.

Utabiri wangu ni upi??.
Natabiri kwamba CHAUMMA watajaza watu kwenye mikutano yao kuipa uhalali machoni pa watu na dunia pia.

Watu watatoka wapi?.
Kama wote mnavyojua kuna chama kimoja kikubwa kina utaratibu wa kusomba watu kwenye malori kuwapeleka kwenye mikutano.

Basi uratibu utakuwepo wa wanachama wao kuhudhuria mikutano ya CHAUMMA na kushangilia kwelikweli..

Ni hayo tu kwa leo,ila kwa asiyeamini atakuja kujionea kwa macho yake mawili.
Ujinga mwingi sana ila ili iweje. Siasa siku za hivi karibuni imegeuzwa biashara. Fedha za walipa Kodi zinachakatwa hasa Kwa matumizi yasiyo na tija. Ngoja tuone,mchimba kisima kaingia mwenyewe huenda maji yakamzidi
 
Huu ni moto wa mabua tu...

And it's very simple to deal with their deception...

Kila mahali watakapofanya mkutano wao, vyama vinavyopigania mabadiliko (reforms) wakiongozwa na CHADEMA waweke watu kurekodi matukio yote ya usombaji watu na yatumike kufanya counter attack ya kufa mtu...

Mwisho, it's obvious kuwa kwenye mikutano yao kitakachobadilika ni jezi tu. Ni wana CCM hawahawa ndio watasombana wakivikwa jezi nyekundu kuonesha kuwa ni CHAUMA...
 
Watu watatoka wapi?.
Kama wote mnavyojua kuna chama kimoja kikubwa kina utaratibu wa kusomba watu kwenye malori kuwapeleka kwenye mikutano.
Kama itakuwa ni kweli; hili la "watu watatoka wapi", ndilo litakuwa la kusikitisha zaidi ya kitu kingine chochote.

Hawa "watu" wao watakuwa kama ni ma-'robot'? Hawana hata chembe ya akili vichwani mwao? Hawa watakuwa ni watu wa namna gani?
 
Huu ni moto wa mabua tu...

And it's very simple to deal with their deception...

Kila mahali watakapofanya mkutano wao, vyama vinavyopigania mabadiliko (reforms) wakiongozwa na CHADEMA waweke watu kurekodi matukio yote ya usombaji watu na yatumike kufanya counter attack ya kufa mtu...

Mwisho, it's obvious kuwa kwenye mikutano yao kitakachobadilika ni jezi tu. Ni wana CCM hawahawa ndio watasombana wakivikwa jezi nyekundu kuonesha kuwa ni CHAUMA...
Upo sahihi..
Ila hawataishia hapo tu kwenye kusomba watu na kuwavalisha jezi.

Naona kabisa huyu kiongozi wa upinzani akija kutengeneza pia kamgogoro ka kuhitaji mali zake.

Ushauri tu:Safu ya juu ya uongozi isipambane naye waziwazi,wacha wananchi tumnyooshe huku chini maana tumechoka siasa za kinafiki na kidalali.
 
Chadema Shughulikieni matatizo yenu msijifiche kwenye vivuli vya watu kuhongwa. Kwani wakati mnafanya kampeni za kutukanana jukwaani hamkujua matokeo yatakuwa nini?
 
Hamna chama pale, wale watu wamepewa pesa.

Mimi namsikitikia Mbowe, kiukweli atajichafulia sanaa jina lake. Kama kweli Mbowe ana familia inampenda, imshauri atulie akae kimya tuu.

Note: Wote tunahisi juu ya Mbowe, haijathibitika bado kama Mbowe atajiunga Chauma. Tuweke akiba ya maneno.
Mchaga akatae pesa!
 
Kama upinzani ulilewekwa na CCM, anakosa gani akiamua kuhubadilishia mpinzani?
 
Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa.

Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na watawala.

Utabiri wangu ni upi??.
Natabiri kwamba CHAUMMA watajaza watu kwenye mikutano yao kuipa uhalali machoni pa watu na dunia pia.

Watu watatoka wapi?.
Kama wote mnavyojua kuna chama kimoja kikubwa kina utaratibu wa kusomba watu kwenye malori kuwapeleka kwenye mikutano.

Basi uratibu utakuwepo wa wanachama wao kuhudhuria mikutano ya CHAUMMA na kushangilia kwelikweli..

Ni hayo tu kwa leo,ila kwa asiyeamini atakuja kujionea kwa macho yake mawili.
Sidhani
 
Nakumbuka na Mbatia naye uchaguzi wa 2020 alipewa pia hiyo support fake, lakini cdm hawakupoteza focus
Huyo mstaafu wa upinzani ana watu...! Amehama na Kijiji....kishindo si kidogo!
 
Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa.

Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na watawala.

Utabiri wangu ni upi??.
Natabiri kwamba CHAUMMA watajaza watu kwenye mikutano yao kuipa uhalali machoni pa watu na dunia pia.

Watu watatoka wapi?.
Kama wote mnavyojua kuna chama kimoja kikubwa kina utaratibu wa kusomba watu kwenye malori kuwapeleka kwenye mikutano.

Basi uratibu utakuwepo wa wanachama wao kuhudhuria mikutano ya CHAUMMA na kushangilia kwelikweli..

Ni hayo tu kwa leo,ila kwa asiyeamini atakuja kujionea kwa macho yake mawili.
NDOKENI PENYE CHUKI, VISASI NA VIVYONGO, ENENDENI PENYE AMANI UPENDO NA UTU, JIUNGENI NA CHAUMMA, MPATE FARIJIKO, UHURU WA KIMAONI KWA KILA MMOJA MMOJA, KILA MMOJA ANATHAMANI SAWA NDANI YA CHAMA, KAULI YA KIONGOZI SI KAULI YA MWISHO NDANI YA CHAMA CHA CHAUMMA, ONDOKENI HUMO MLIPO, TUMFUATE MUSSA TUKAVUKE BAHARI YA SHAMU.
 
Hicho chama kimegeuza chauma kuwa tawi lake na watakifanyia kampeni kijaze watu viwanjani. Ni muendelezo wa matamasha ya kisiasa
 
Hizi ni mbinu za kulaghai wapuuzi, wajinga na wapumbavu, waaerevu wanang'amu na kuona ni hila za kuikomoa chadema yenye upinzani wa kweli
 
Back
Top Bottom