Ni kama nyinyi mnavyo mpamba Kocha Juma Mgunda. Hivyo mtuache na sisi tujivunie Profesa wetu Nabi. Siku zake za kuishi Jangwani zikifika, ataondoka.Mie cjatoa utabiri wowote,lkn huo uspecial mnaompa wala hana zaid ya.mazingaombwe ya mpira wa bongo
We jamaa ni mshenzi sana, yani ulipiga eneo lile lile lenye maumivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki.
Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC ( Tanzania ) Jumapili ijayo ambapo asipozishinda zote anafukuzwa haraka mno na Kocha Cedric Kaze kubaki na Timu huku akitafutwa Kocha Mzawa Kusaidiana nae.
Sababu Kubwa ya Viongozi wa Yanga SC kuwahi Kukanusha haraka hii Taarifa ni Mbinu tu ya kutowaharibu Kisaikolojia Wachezaji na kutowachanganya Wapenzi, Mashabiki na Wanachama wao ila ukweli wa 99.9% ni kwamba Kocha Nabi kakalia Kuti Kavu ndani ya Yanga SC na anaenda Kufukuzwa.
Endeleeni tu Kunidharau na Kunichukulia poa GENTAMYCINE hapa JamiiForums. Nilichobarikiwa nacho na Mwenyezi Mungu ni cha Kutukuka na hakina mfano.We jamaa ni mshenzi sana, yani ulipiga eneo lile lile lenye maumivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2397152
Endeleeni tu Kunidharau na Kunichukulia poa GENTAMYCINE hapa JamiiForums. Nilichobarikiwa nacho na Mwenyezi Mungu ni cha Kutukuka na hakina mfano.Genta ni noma
Shemeji mi huwa sikudharau ila huwa nafuatilia sana nyuzi zakoEndeleeni tu Kunidharau na Kunichukulia poa GENTAMYCINE hapa JamiiForums. Nilichobarikiwa nacho na Mwenyezi Mungu ni cha Kutukuka na hakina mfano.
Mazuzu huwa hamuishi JF.We jamaa ni mshenzi sana, yani ulipiga eneo lile lile lenye maumivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2397152
Mazuzu huwa hamuishi JF.
Hakuna kocha wa kudumu kwenye mpira wetu, wala halihitaji utabiri hata kocha mwenyewe anaweza kuondoka kwa kufuata offer kubwa zaidi, Mgunda anaweza kuwa wa kwanza kufukuzwa Simba akamuacha Nabi Yanga.Save hii comment baada ya tarehe 2 tutajua kama anabaki au anaenda zake[emoji23]
Hatimaye jumapili mbili zishapita, Embu tujuze ni jumapili ipi uliyokuwa unaizungumzaViongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki.
Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC ( Tanzania ) Jumapili ijayo ambapo asipozishinda zote anafukuzwa haraka mno na Kocha Cedric Kaze kubaki na Timu huku akitafutwa Kocha Mzawa Kusaidiana nae.
Sababu Kubwa ya Viongozi wa Yanga SC kuwahi Kukanusha haraka hii Taarifa ni Mbinu tu ya kutowaharibu Kisaikolojia Wachezaji na kutowachanganya Wapenzi, Mashabiki na Wanachama wao ila ukweli wa 99.9% ni kwamba Kocha Nabi kakalia Kuti Kavu ndani ya Yanga SC na anaenda Kufukuzwa.
Asante Mkuu ila kwa Kunisifia kwako huku ( hivi ) tegemea kuambiwa kuwa hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE na hapa nimeamua Kujipakulia tu Minyama ( Kujisifia ) ili kutafuta Umaarufu.Hata kama ajafukuzwa lakini credit ziende kwa GENTAMYCINE akisema jambo jua alipo mbali au lipo kwenye mchakato.
aina mbambamba itafahamika tu iwe jua au mvua.
Ile uliyotoka Kutiwe ile Mimba yako.Hatimaye jumapili mbili zishapita, Embu tujuze ni jumapili ipi uliyokuwa unaizungumza
Nimegundua mashabiki wa Mikia wanashinikiza kocha Nabi afukuzweViongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki.