Natabiri Kocha wa Yanga SC Nabi Kufukuzwa kwa Mwarabu Jumapili au kwa Mkapa Jumapili ijayo

Mie cjatoa utabiri wowote,lkn huo uspecial mnaompa wala hana zaid ya.mazingaombwe ya mpira wa bongo
Ni kama nyinyi mnavyo mpamba Kocha Juma Mgunda. Hivyo mtuache na sisi tujivunie Profesa wetu Nabi. Siku zake za kuishi Jangwani zikifika, ataondoka.

Ila kwa sasa, bado yupo yupo sana! Aisee huwezi kuamini, ila mashabiki wengi tuna imani naye.
 
Ni sawa Nabi ana rekodi nzuri tu hapo utopoloni lakini tatizo sasa keshaishiwa mbinu ndio maana mnaona amekuwa wa kupata matokeo kipindi cha pili hata kwa Zalan mliona
 
Uzuri ni kwamba Jenta hajawai kufeli ni spy mkubwa sana,huwa habashiri bali anatupa habari nyeti alizopata kutoka vyanzo vya uhakika ndani ya taasisi.ukibisha bisha tu lakini yeye anatupatia habari za nini kilichopo au kinachokuja.
 
Ulishawahi ona maharagwe ya nazi yanafungwa kwenye gazeti, ulishaonja samaki wa kupakwa, ulishawahi kula wali kilo moja ilowekewa nazi nne
Vyote hivi vikichanganywa unapata msosi uitwao pira Mgunda. Karibu Lupaso upate pira Mgunda ufaidi ladha ya pishi la kitanga. Mapenzi yamezaliwa Tanga na mapenzi nifuraha njoo simba jpili ufurahi
 
Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki.

Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC ( Tanzania ) Jumapili ijayo ambapo asipozishinda zote anafukuzwa haraka mno na Kocha Cedric Kaze kubaki na Timu huku akitafutwa Kocha Mzawa Kusaidiana nae.

Sababu Kubwa ya Viongozi wa Yanga SC kuwahi Kukanusha haraka hii Taarifa ni Mbinu tu ya kutowaharibu Kisaikolojia Wachezaji na kutowachanganya Wapenzi, Mashabiki na Wanachama wao ila ukweli wa 99.9% ni kwamba Kocha Nabi kakalia Kuti Kavu ndani ya Yanga SC na anaenda Kufukuzwa.
We jamaa ni mshenzi sana, yani ulipiga eneo lile lile lenye maumivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_1666675240289.jpg
 
Endeleeni tu Kunidharau na Kunichukulia poa GENTAMYCINE hapa JamiiForums. Nilichobarikiwa nacho na Mwenyezi Mungu ni cha Kutukuka na hakina mfano.
Shemeji mi huwa sikudharau ila huwa nafuatilia sana nyuzi zako
 
Save hii comment baada ya tarehe 2 tutajua kama anabaki au anaenda zake[emoji23]
Hakuna kocha wa kudumu kwenye mpira wetu, wala halihitaji utabiri hata kocha mwenyewe anaweza kuondoka kwa kufuata offer kubwa zaidi, Mgunda anaweza kuwa wa kwanza kufukuzwa Simba akamuacha Nabi Yanga.

Tuache tabia za kichawi.
 
Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki.

Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC ( Tanzania ) Jumapili ijayo ambapo asipozishinda zote anafukuzwa haraka mno na Kocha Cedric Kaze kubaki na Timu huku akitafutwa Kocha Mzawa Kusaidiana nae.

Sababu Kubwa ya Viongozi wa Yanga SC kuwahi Kukanusha haraka hii Taarifa ni Mbinu tu ya kutowaharibu Kisaikolojia Wachezaji na kutowachanganya Wapenzi, Mashabiki na Wanachama wao ila ukweli wa 99.9% ni kwamba Kocha Nabi kakalia Kuti Kavu ndani ya Yanga SC na anaenda Kufukuzwa.
Hatimaye jumapili mbili zishapita, Embu tujuze ni jumapili ipi uliyokuwa unaizungumza
 
Hata kama ajafukuzwa lakini credit ziende kwa GENTAMYCINE akisema jambo jua alipo mbali au lipo kwenye mchakato.

aina mbambamba itafahamika tu iwe jua au mvua.
Asante Mkuu ila kwa Kunisifia kwako huku ( hivi ) tegemea kuambiwa kuwa hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE na hapa nimeamua Kujipakulia tu Minyama ( Kujisifia ) ili kutafuta Umaarufu.
 
Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki.

Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC ( Tanzania ) Jumapili ijayo ambapo asipozishinda zote anafukuzwa haraka mno na Kocha Cedric Kaze kubaki na Timu huku akitafutwa Kocha Mzawa Kusaidiana nae.

Sababu Kubwa ya Viongozi wa Yanga SC kuwahi Kukanusha haraka hii Taarifa ni Mbinu tu ya kutowaharibu Kisaikolojia Wachezaji na kutowachanganya Wapenzi, Mashabiki na Wanachama wao ila ukweli wa 99.9% ni kwamba Kocha Nabi kakalia Kuti Kavu ndani ya Yanga SC na anaenda Kufukuzwa.
Nimegundua mashabiki wa Mikia wanashinikiza kocha Nabi afukuzwe
 
Back
Top Bottom