Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ni kama nyinyi mnavyo mpamba Kocha Juma Mgunda. Hivyo mtuache na sisi tujivunie Profesa wetu Nabi. Siku zake za kuishi Jangwani zikifika, ataondoka.Mie cjatoa utabiri wowote,lkn huo uspecial mnaompa wala hana zaid ya.mazingaombwe ya mpira wa bongo
Ila kwa sasa, bado yupo yupo sana! Aisee huwezi kuamini, ila mashabiki wengi tuna imani naye.