we jamaa kwa mikwara hujamboNasikia sauti ktk moyo wangu ina niambia kuna jambo lasiri sana linaendelea ktk siasa za Tanzania...
Jambo hili hata mimi sijuwi ila yatupasa kuliombea taifa kwa machoz na dam.
Mtikisiko ulio ikumba dodoma sasa unaenda kuwa mtikisiko mkubwa zaidi kwakuwa serikali inaongozwa kwa siri na wengi hufa na siri zao...
Basi tuliombee taifa.
Epuka kuongea au kumsuta mwenzako ukijuwa unaye msuta hujuwi kama vile wewe hakujuwi.
Nawaona wana kijani wanaongea sana nakudhani kuanguka kwa Ndugai ni fursa ila nataka niwaambie huu ndio mwanzo wa utungu....
Yapo mambo hatuyaoni ila sasa yataonekana.
Yapo mambo hatujuwi ila sasa yatajulikana.
Wakati haya yanaendelea mataifa yenye nguvu duniani yanafuwatilia kwa ukaribu kile kinaendelea ktk siasa za Tz.
Pray for Nation. Amen